HABARI MPYA KABISAONA YOTE

Rais Samia atangaza siku 7 za maombolezo kufuatia kifo cha Ali Hassan Mwinyi

Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametangaza siku saba za maombolezo ya kitaifa kufuatia kifo cha Rais mstaafu ...

Waziri wa Vita wa Israel akiri kuhusu hali ngumu ya utawala huo katika vita vya Gaza

Yoav Gallant, Waziri wa Vita wa utawala wa kibaguzi wa Israel amekiri kuhusu hasara kubwa liliyopata jeshi la utawala huo katika vita vya ...

Misri: Israel inapaswa kuwa chini ya shinikizo la kimataifa

Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri alitoa wito wa mashinikizo ya kimataifa kwa utawala wa Kizayuni kuruhusu kuingizwa kikamilifu misaada ya ...

Rais Senegal athibitisha tarehe ya kuachia madaraka

RAIS wa Senegal, Macky Sall amethibitisha kuwa ataachia ngazi muda wake utakapokamilika Aprili 2, 2024. Rais Sall alibainisha kuwa ...

Waziri wa ulinzi wa Marekani akiri kuuawa shahidi kwa zaidi ya wanawake na watoto elfu 25 wa Kipalestina huko Gaza mikononi mwa Israel.

Lloyd Austin, Waziri wa Ulinzi wa Marekani (mkuu wa Pentagon), ambaye nchi yake imetoa msaada wa kifedha, kijeshi na kiusalama kwa Israel ...

Makubaliano ya karne na athari zake katika uhusiano kati ya Afrika na utawala wa Kizayuni

Mkutano wa 33 wa Umoja wa Afrika (20 na 21 Februari 2019) wenye kauli mbiu “kuzima bunduki, kuweka mazingira mazuri kwa maendeleo ya ...

Kabla ya kujichoma moto… Rubani Bushnell alifuchua: “Majeshi ya Marekani yanashiriki katika mauaji ya halaiki huko Palestina”

Gazeti la New York Post limechapisha maelezo mapya kuhusu mwanajeshi wa Jeshi la Anga la Marekani, Aaron Bushnell ambaye alijichoma moto ...

Balozi wa Urusi: Hakukuwa na mapinduzi nchini Chad

Balozi wa Urusi alikanusha mapinduzi hayo nchini Chad na kutaja kuwepo kwa vifaru na magari ya kivita katika mji mkuu wa nchi hii ya Afrika, ...

Makala
Kategoria
Mahojiano

Uchambuzi wa KisiasaONA YOTE

Ubeberu wa kimataifaONA YOTE

HabariONA YOTE