Wanne wajeruhiwa Burkina Faso katika kupinga msafara wa kijeshi wa Ufaransa

Maandamano ya kupinga msafara huo yalianza siku ya Alkhamisi na yangali yanaendelea.

Niger ambayo ipo magharibi mwa Afrika licha ya kuwa na utahiri mkubwa wa maliasili ya mafuta na madinini ya urani lakini ni moja ya nchi masikini zaidi duniani.

Tukumbuke kuwa Mali na nchi hiyo jirani ya Niger ni maficho makuu ya shughuli za makundi ya kigaidi yakiwemo ya Daesh na Boko Haram. Machafuko na ukosefu wa usalama umeenea katika eneo hilo huku askari wa Ufaransa wakiwa wametumwa huko kwa miaka mingi sasa kwa kisingizio cha kulinda amani na usalama katika eneo hilo.

Previous Post
Next Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *