Holocaust ni sababu ya kuhalalisha utawala wa Kizayuni

Faraan: Moja ya masuala muhimu zaidi katika historia ya Israeli na Uzayuni ni Holocaust, ambayo kwamba imepokelewa kwa tahadhari kubwa mno katika ulingo wa kimataifa. Katika nchi mbalimbali, watu wengi katika kuunga mkono au kupinga swala hilo, waliandika vitabu, na wakachukua msimamo.

Sehemu ya Holocaust katika utambulisho wa kihistoria ya utawala unaoukalia kimabavu huko Jerusalem ilikua kubwa sana kiasi kwamba ilibadilika na kuwa alama ya kuidhinisha au kukataa utawala huu na kwa nchi zilizounga mkono utawala huo dhalimu, zilianishiwa adhabu ya kupinga sheria hiyo. Sehemu na umuhimu huo ulifikia hatua ambayo kwamba baadhi ya wachambuzi waliamini kuwa, kauli ya Raisi wa Jamhuri Iran kuhusu kupinga maangamizi ya Holocaust ilionekana kuwa ni yenye kuchochea mgogoro kati ya Jamhuri ya Kiislamu na utawala mbovu.

Uhalalishaji
Moja ya masuala muhimu katika utawala wa Kizayuni ni uhalali wake. Mwanzo kabisa, utawala huo lazima uhalalishe uwepo wa wavamizi huko nchini Palestina ili uweze kuhalalisha kuanzishwa kwa dola ya Kiyahudi katika ardhi hiyo. Uhalali wa mradi wa Mazayuni wa kuanzisha ardhi ya Mayahudi huko Palestina umetiliwa shaka tangu kuanzishwa kwake. Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko la malalamishi katika kutilia shaka uhalali wa serikali ya Israeli. Leo hii, zipo hoja mbili za kitaaluma zinazoashiria dhulma ya Uzayuni. Moja wapo ni kwamba kurudi kwa Wayahudi nchini Palestina yenyewe sio haki. Hoja ya pili ni kwamba, kinyume na maoni ya sasa, ni taifa lenye tamaduni nyingi.

Kuanzishwa kwa nchi ya Kiyahudi huko Palestina
Mapambano ya uratibu dhidi ya misimamo au misingi ya kihistoria, kisiasa, na ya kitamaduni ya Israeli, yanalenga kudhoofisha misingi asili ya uwepo wa Israeli ili kuzua hoja dhidi ya uhalali wake. Kinyume na matukio haya, katika kitabu cha ‘The Law of Israel as a State in International Diplomacy ‘, wataalam kadhaa mashuhuri duniani wanaelezea sheria ya Israeli kama nchi katika diplomasia ya kimataifa ili kuonyesha kwamba Wayahudi wanastahili kuwa na taifa maalum.

Holocaust, ni moja kati ya misingi muhimu katika kuhalalisha utawala wa Kizayuni
Moja kati ya misingi muhimu zaidi katika kuthibitisha uhalali wa utawala wa Kizayuni ni madai yao kuhusu mauaji ya Holokasti. Wanadai kwamba walidhulumiwa katika mauaji ya Holocaust na kwamba wanapaswa kupewa ardhi ili iwe kama fidia kwa mauaji hayo.

Ambaye ni mmoja kati ya wanachama mashuhuri wa kizazi kipya ambaye pia ni miongoni mwa wanahistroria wanaoleta mabadiliko katika nchi ya Israeli. Katika kitabu “Israeli, Holocaust, na Siasa za Kitaifa,” anaelezea njia ambazo Israeli imetumia kutoka katika kumbukumbu za kihistoria za Holocaust kufafanua na kuhalalisha uwepo wake na siasa. Kwa kuzingatia vyanzo mbali mbali, mwandishi anaonyesha nafasi kubwa ya Mauaji ya Wayahudi katika nyanja ya umma ya Israeli, katika mradi wa ujenzi wa nchi, sera za madaraka na mtazamo wake juu ya mzozo na Wapalestina. Anadhihirisha kuwa kitovu cha mauaji ya Holocaust kinasababisha utamaduni wa kifo na dhabihu ambao umeenea katika jamii ya Israeli na taswira waliyo nayo wao wenyewe. Katika utangulizi wa kitabu hicho, mwanahistoria na mwandishi wa siasa maarufu duniani Tony Jude, anamtaja mwandishi wa kitabu hicho kwa majina kama vile jasiri, mpenda uhalisia, na muaminifu na muwazi katika kuelezea hali ya maadili ya nchi.

Previous Post
Next Post

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *