
Kila mtu anapaswa kuweka kando visingizio vyote, ukaaji na atoke tarehe 7 Oktoba:
Hujjatul Islam Ustadh Syed Jawad Naqvi (Kiongozi mkuu Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Khutba ya Ijumaa -27 Septemba 2024 Khutba 1: Kalema -e-Tayyaba ni nini kimatendo katika maisha yetu Ubinadamu huanza kutoka hali ya chini (Asfalas Safeleen) na lazima kupanda hadi hali ya juu zaidi, kufikia Hayat-e-Tayyab…