
Khutba ya Ijumaa 20 Septemba 2024: Hujjatul Islam Ustadh Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustadh Syed Jawad Naqvi (Kiongozi mkuu Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Khutba ya Ijumaa 20 Septemba 2024 Khutba ya 1: Maana na sifa za Shajrah Katika muendelezo wa khutba ya mwisho, Quran inafanana na mti wa kwanza safi, mti mbaya wenye Kalema-e-Tayyaba na Kalema-e-Khabeesa….