jafari

Msimamo wa Tanzania kuhusu Uraia wa Nchi Mbili Unaumiza Maslahi Yake Kama Taifa Lenye Maono. Labda Ni Wakati Mwafaka wa Kubadilisha Gia?

Msimamo wa Tanzania kuhusu Uraia wa Nchi Mbili Unaumiza Maslahi Yake Kama Taifa Lenye Maono. Labda Ni Wakati Mwafaka wa Kubadilisha Gia?

Uraia pacha unaweza kuchochea ongezeko la uwekezaji na kuharakisha maendeleo ya uchumi unaotegemea maarifa nchini Tanzania. Tanzania ndio taifa pekee la Jumuiya ya Afrika Mashariki ambalo haliruhusu uraia pacha katika utu uzima. Serikali ya Tanzania imekanusha mara kwa mara dhana ya uraia wa nchi mbili, ikisisitiza kwamba utaratibu huo utaleta ukosefu wa usawa na mkanganyiko…

Almasi kubwa zaidi katika karne yapatikana nchini Botswana

Almasi kubwa zaidi katika karne yapatikana nchini Botswana

Almasi kubwa zaidi iliyowahi kupatikana  katika zaidi ya karne moja imechimbuliwa katika mgodi mmoja nchini Botswana, na rais wa nchi hiyo aliuonyesha ulimwengu jiwe hilo lenye ukubwa wa ngumi katika hafla ya kulitazama. Rais wa Botswana Mokgweetsi Masisi alisema. “Almasi inamaanisha kila kitu kwetu katika nyakati nzuri na wakati wa maafa.” Serikali ya Botswana inasema…

Hamas hawakunidhuru/sitakuwa mwathirika wa vyombo vya habari vya Israel

Hamas hawakunidhuru/sitakuwa mwathirika wa vyombo vya habari vya Israel

Mwanamke huyo Mzayuni ambaye hivi karibuni aliachiwa huru kutoka kifungoni alikanusha madai ya vyombo vya habari vya utawala wa Israel kwamba Hamas iliwafanyia utovu wa nidhamu wafungwa wa utawala huo na kusema kuwa, hakuna aliyemdhuru akiwa kifungoni. Kwa mujibu wa ripoti ya IRNA siku ya Jumamosi, iliyonukuliwa na kanali ya habari ya Al Jazeera, “Noa…

Wanaharakati Wapinga Pendekezo Kwamba Mtoa Rushwa ya Ngono na Yeye Ashitakiwe

Wanaharakati Wapinga Pendekezo Kwamba Mtoa Rushwa ya Ngono na Yeye Ashitakiwe

Mtandao wa Wadau Wanaopinga Rushwa ya Ngono ambao una wanachama zaidi ya 300 umekipinga vikali kipengele cha 10(b) kilichopo kwenye Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa wa mwaka 2024 kinachoeleza kwamba mtu ambaye atabainika kudai au kushwawishi kutoa rushwa ya ngono basi naye atashtakiwa. Kipengele hicho kimeenda mbali…

Makadirio ya zaidi ya dola bilioni 80 za mashambulio ya utawala wa Kizayuni Gaza

Makadirio ya zaidi ya dola bilioni 80 za mashambulio ya utawala wa Kizayuni Gaza

Umoja wa Mataifa unakadiria kuwa kutokana na mashambulizi ya kinyama ya jeshi la utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza, ukarabati na ujenzi mpya wa ukanda huo utagharimu zaidi ya dola bilioni 80 na mchakato huo kuchukua miongo minane kukamilika. Katika hali ambayo Ukanda wa Gaza unakabiliwa na uharibifu mkubwa na tani milioni 42 za…

Wakuu wa masuala ya usalama wa Ethiopia na Kenya wajadili mapambano ya pamoja dhidi ya ugaidi

Wakuu wa masuala ya usalama wa Ethiopia na Kenya wajadili mapambano ya pamoja dhidi ya ugaidi

Maafisa wakuu wa masuala ya kiusalama wa Ethiopia na Kenya wamesisitizia haja ya kushirikiana zaidi na kufanya kazi kwa pamoja katika kukabiliana na ugaidi. Shirika la Habari la Ethiopia limeripoti habari hiyo na kuongeza kuwa, ujumbe wa Kenya, ukiongozwa na mkuu wa intelijensia, Jenerali Nuredin Mohammed Haji, umekwenda katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa na…

Hasira za nchi za Kiafrika kutoka Ukraine

Hasira za nchi za Kiafrika kutoka Ukraine

Katika barua kwa Baraza la Usalama, nchi hizo tatu za pwani ya Afrika zilitangaza kushtushwa na kukubali kwa Ukraine kuunga mkono ugaidi katika bara hilo na kutaka taasisi za kimataifa kuingilia kati suala hilo. Katika barua kwa mkuu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Burkina Faso, Mali na Niger ziliishutumu serikali ya Ukraine…

Kiwewe cha Wazayuni katika kusubiri jibu la kushtukiza la Iran

Kiwewe cha Wazayuni katika kusubiri jibu la kushtukiza la Iran

Kadiri jibu la Iran kwa kitendo cha kigaidi cha utawala wa Kizayuni wa Israel linavyozidi kuchukua muda mrefu, ndivyo taathira za kimaada, kiroho na kisaikolojia zinavyozidi kuongezeka na kuwaumiza Wazayuni. Kuhusu wakati wa jibu la Tehran kwa utawala wa Israel baada ya kuuawa shahidi Ismail Haniyeh, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Hamas, mwakilishi wa…