jafari

Raghbat(Shauku) ya kuwa na Daulat-e-Kareema (serikali ya Kiislamu) ni wajibu tuliowekewa na Imam wa zama (a.t.f.s)

Raghbat(Shauku) ya kuwa na Daulat-e-Kareema (serikali ya Kiislamu) ni wajibu tuliowekewa na Imam wa zama (a.t.f.s)

Hujjatul Islam Ustadh Syed Jawad Naqvi (Kiongozi mkuu Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa na: Masjid Baitul Ateeq Lahore – Paiakistan KHUTBA YA IJUMAA – 14 FEBRUARI 2025 Khutba ya 1 & 2 : Raghbat(Shauku) ya kuwa na Daulat-e-Kareema (serikali ya Kiislamu) ni wajibu tuliowekewa na Imam wa zama (a.t.f.s) Mwongozo ni hitaji la kimsingi…

MATARAJIO YA KIMUNGU NA MATARAJIO YA MABABU ZETU

MATARAJIO YA KIMUNGU NA MATARAJIO YA MABABU ZETU

Hujjatul Islam wal Muslimiin Ustadh Syed Jawad Naqvi Mudir Jamiatul Wuthqah Lahore Pakistan Kumngoja Imamu maana yake ni kusubiri utawala wa Uimamu na kudhihiri dini na kutawala kwa dini na utawala wa uadilifu, utawala wa Uislamu. Katika kungoja huku, kungoja kwa mngojaji na mtarajiwa wote wana majukumu tofauti. Katika kungoja huku, mtu anayengoja hakai kimya…

Wajibu kwa waumini kutatua tofauti baina ya waumini: Ustadh Syed Jawad Naqvi

Wajibu kwa waumini kutatua tofauti baina ya waumini: Ustadh Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustadh Syed Jawad Naqvi (Kiongozi mkuu Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa na: Masjid Baitul Ateeq Lahore – Paiakistan KHUTBA YA IJUMAA – 7 FEBRUARI 2025 Khutba ya 1: Wajibu kwa waumini kutatua tofauti baina ya waumini. Katika Surah Anfal, kuna muktadha unaosisitiza kwamba mali ni mali ya umma inayomilikiwa na Mwenyezi Mungu…

Hali nne za kutisha kwa wenye dhambi na wahalifu: Ustadh Syed Jawad Naqvi

Hali nne za kutisha kwa wenye dhambi na wahalifu: Ustadh Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustadh Syed Jawad Naqvi (Kiongozi mkuu  Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa na: Masjid Btul ul Ateeq Lahore – Paiakistan KHUTBA YA IJUMAA – 31 JANUARI 2025 Khutba ya 1: Taqwa katika Maishiyat – Maana ya Anfal Utajiri na pesa ni msingi kwa kila nyanja ya jamii. Hata mahitaji ya kiroho ya mwanadamu…

Hali ya mtu inaweza kuwaje wakati kila hatua inaelekea kwenye kifo: Ustadh Syed Jawad Naqvi

Hali ya mtu inaweza kuwaje wakati kila hatua inaelekea kwenye kifo: Ustadh Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustadh Syed Jawad Naqvi (Kiongozi mkuu Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa na: Masjid Btul ul Ateeq Lahore – Paiakistan KHUTBA YA IJUMAA – 24 JANUARI 2025 Khutba ya 1: Taqwa katika Maishiyat (namna za kujikimu) Dini inajumuisha uwanja mkubwa na mpana. Utata wa kuwepo kwa mwanadamu, ugumu wa maisha, na ulinzi wa…

Ni vipi tutakuwa na ikhlas katika matendo yetu?

Ni vipi tutakuwa na ikhlas katika matendo yetu?

Warsha hii imeandaliwa kwa ajili yenu wanafunzi. Utaratibu ni kitu muhimu sana katika maisha ya mwanadamu, watu wote muhimu duniani iwe wa kidini au wasio wa kidini wamepata mafanikio, kusoma wasifu wao kunaonyesha jinsi walivyokuwa na utaratibu katika maisha yao. Kwa hivyo, aina hizi za warsha huanzishwa ili wanafunzi wajifunze utaratibu na mpangilio. Ikiwa tunataka…

Baada ya kusitishwa kwa mapigano na matatizo na Hezbollah tuna wajibu zaidi sasa wa kuendeleza upinzani

Baada ya kusitishwa kwa mapigano na matatizo na Hezbollah tuna wajibu zaidi sasa wa kuendeleza upinzani

Hujjatul Islam Ustadh Syed Jawad Naqvi (Kiongozi mkuu Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa na: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan KHUTBA YA IJUMAA – 17 JANUARI 2025 Khutba ya 1: Taqwa katika kulinda katiba ya Mwenyezi Mungu inahitaji kuzama kwa kina katika dini na sio tu kuwa kwenye kona ya dini. Wanadamu ni…

Mwenyezi Mungu atawaadhibu wale wanaogusa Quran tu lakini maisha yao sio ya Quran: Ustadh Syed Jawad Naqvi

Mwenyezi Mungu atawaadhibu wale wanaogusa Quran tu lakini maisha yao sio ya Quran: Ustadh Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustadh Syed Jawad Naqvi (Kiongozi mkuu Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imehutubiwa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan KHUTBA YA IJUMAA – 10 JANUARI 2024 Khutba ya 1: Mwenyezi Mungu atawaadhibu wale wanaogusa Quran tu lakini maisha yao sio ya Quran. Katika mazingira yaliyotawaliwa na Taghoot, tunalelewa kwa namna ambayo pia huathiri…