jafari

“Urais pia ni kazi ya watu weusi”, Michelle Obama amwambia Trump

“Urais pia ni kazi ya watu weusi”, Michelle Obama amwambia Trump

Michelle Obama amemshambulia mgombea urais wa chama cha Republican, Donald Trump, wakati wa Kongamano la Kitaifa la Chama cha Democratic uliofanyika jana Jumatano, akikosoa shakhsia yake na mashambulio ya kibaguzi yaliyomlenga yeye na mumewe, rais wa zamani wa Marekani Barack Obama. Michelle Obama amesema kuhusu Trump kwamba: “Mwono na mtazamo wake finyu na mdogo kuhusu ulimwengu umemfanya…

Odinga aachana na siasa za Kenya, sasa anataka nafasi ya uongozi AU

Odinga aachana na siasa za Kenya, sasa anataka nafasi ya uongozi AU

Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Bw Raila Odinga, jana Jumatano, alitangaza kwamba amejiondoa kwenye siasa za Kenya na kuingia katika siasa za Bara la Afrika katika juhudi zake za kuwania uenyekiti wa Tume ya Muungano wa Afrika (AUC). Odinga alisema kuwa hatajishughulisha sana na siasa za Kenya kuanzia sasa ili kuangazia kampeni zake za…

Palestina iko tayari kuimarisha uhusiano na Tanzania

Palestina iko tayari kuimarisha uhusiano na Tanzania

PALESTINE inajitahidi kuimarisha uhusiano wake wa kidiplomasia na njia nyingine za uhusiano na Tanzania ili kukuza ushirikiano wenye manufaa kati ya mataifa hayo mawili. Balozi wa Palestina Hamdi Mansour Abuali ameyasema hayo jijini Dar es Salaam katika mahojiano na ‘Ajenda ya Jumatatu’ na kituo cha Televisheni cha Capital baada ya nchi tatu za Ulaya kulitambua…

Shirika la Afya Dunia (WHO): Mpox sio “Covid” mpya

Shirika la Afya Dunia (WHO): Mpox sio “Covid” mpya

Shirika la Afya Dunia (WHO) limesema kuwa ugonjwa wa Mpox, pamoja na aina zake mpya na za zamani, sio janga jipya kama “Covid,” kwani maafisa husika wanajua jinsi ya kudhibiti kuenea kwake. Mkurugenzi wa shirika hilo barani Ulaya, Hans Kluge, alieleza – jana katika mkutano na waandishi wa habari – kwamba “Mpox sio Covid mpya; iwe…

Operesheni ya pamoja ya nchi tatu dhidi ya mbabe wa kivita wa Afrika

Operesheni ya pamoja ya nchi tatu dhidi ya mbabe wa kivita wa Afrika

Katika operesheni ya pamoja, nchi tatu za Afrika zililenga na kuharibu kambi za Lord’s Resistance Army (LRA) zinazoongozwa na Joseph Kony, mmoja wa wababe wa kivita wanaosakwa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati. Kwa mujibu wa shirika la habari la IRNA, likinukuu shirika la habari la AFP, jeshi la Uganda linalojulikana kama “People’s Defence Forces”…

DRC kupokea chanjo ya Mpox wiki ijayo

DRC kupokea chanjo ya Mpox wiki ijayo

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ina matumaini ya kupokea dozi ya kwanza ya chanjo ya Mpox wiki ijayo. Ni baada ya Shirika la Afya Duniani (WHO) kutangaza jana Jumatatu, Agosti 19, kwamba nchi zilizoathiriwa na janga la Mpox zinapaswa kuanzisha mipango ya kutoa chanjo katika maeneo ambayo yamathiriwa zaidi na ugonjwa huo. Congo DR imeripoti kesi 16,700…

Ukraine yapoteza njama barani Afrika

Ukraine yapoteza njama barani Afrika

Ukraine inapaswa kuwa makini kutorudia makosa ya Vita Baridi. Mnamo Agosti 5, serikali ya Mali ilitangaza uamuzi wake wa kukata uhusiano wa kidiplomasia na Ukraine, ikitoa mfano wa afisa wa Ukraine kukiri kwa majigambo kwamba Kyiv iliwapa waasi wa Mali akili muhimu kwa shambulio la waasi ambalo liliua mamluki wengi wa Wagner Group wa Urusi…

UK ilihusika katika kuwapa mafunzo askari wa Ukraine kabla ya kushambulia eneo la Kursk la Russia

UK ilihusika katika kuwapa mafunzo askari wa Ukraine kabla ya kushambulia eneo la Kursk la Russia

Gazeti la Times linalochapishwa Uingereza limefichua kuwa wanajeshi wa Ukraine walioshiriki katika uvamizi wa vikosi vya Kiev katika mkoa wa Kursk wa Russia, walipewa mafunzo na wataalamu wa kijeshi wa Uingereza katika kipindi cha wiki chache kabla ya kufanyika shambulio hilo la kushtukiza. Mnamo Agosti 6, vikosi vya Ukraine vilianzisha shambulio kubwa zaidi dhidi ya…