jafari

Misri: Shambulizi la shule ni ishara ya wazi kua Israel haina nia ya kusitisha vita

Misri: Shambulizi la shule ni ishara ya wazi kua Israel haina nia ya kusitisha vita

Katika kujibu mashambulizi ya mapema asubuhi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya shule moja katikati ya Ukanda wa Ghaza, Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri ilitangaza kuwa, mauaji ya idadi kubwa ya raia wa Palestina yanaonesha kutokuwa tayari kwa upande wa Israel katika kuhitimisha vita hivyo. Wizara ya Mambo ya Nje na Uhajiri ya…

Watu 23 waaga dunia katika tukio la jaa la taka kuporomoka katika mji wa Kampala

Watu 23 waaga dunia katika tukio la jaa la taka kuporomoka katika mji wa Kampala

Idadi ya watu waliopoteza maisha yao katika janga la kuporomoka kwa jaa la takataka mjini Kampala imefikia watu 23 huku makundi ya waokoaji wakizidi kupoteza matumaini ya kupata manusura. Polisi wa Uganda wamesema kuwa idadi ya vifo vilivyotokana na maporomoko ya ardhi kwenye eneo kubwa la kutupia taka mjini Kampala imefikia 23, wakati timu za…

Wafuasi wa Kizayuni Wenye njama ya kumpindua “Ilhan Omar” waongezeka

Wafuasi wa Kizayuni Wenye njama ya kumpindua “Ilhan Omar” waongezeka

Wafuasi matajiri wa Marekani wa utawala wa Kizayuni wameanzisha kampeni katika mitandao ya kijamii, kwa lengo la kukusanya michango ya fedha kwa ajili ya kumuunga mkono “Don Samuels” na kukabiliana dhidi ya Ilhan Omar; Muislamu na mgombea mpinga wa Kizayuni katika uchaguzi wa awali wa Chama cha Demokrasia nchini humo katika jimbo la Minnesota. Madhumuni…

Uonevu dhidi ya Mashia nchini Pakistan kwa kuunga mkono Palestina: Ustad Syed Jawad Naqvi

Uonevu dhidi ya Mashia nchini Pakistan kwa kuunga mkono Palestina: Ustad Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika: Msikiti Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya Ijumaa – 9 Agosti 2024   Hotuba ya Kwanza: Tayyib na Khabees hawawezi kulinganishwa katika jamii Hotuba ya Pili: Uonevu dhidi ya Mashia nchini Pakistan kwa kuunga mkono Palestina Mwenyezi Mungu…

Afisa wa zamani wa kikosi cha mauaji wakati wa utawala wa Jammeh atiwa nguvuni Gambia

Afisa wa zamani wa kikosi cha mauaji wakati wa utawala wa Jammeh atiwa nguvuni Gambia

Jeshi la Gambia limemtia mbaroni kamanda wa zamani ambaye alidaiwa kuwa mwanachama wa ‘kikosi cha mauaji” wakati wa utawala wa rais wa zamani wa nchi hiyo, Yahya Jammeh. Brigedia Jenerali Bora Colley anadaiwa kuwa alikuwa kiongozi wa kikosi cha wanamgambo kilichopewa jina la utani la “Junglers” ambacho kwa muda mrefu kilikuwa kimetuhumiwa na Umoja wa Mataifa na…

Niger: Uturuki yaelekea Afrika

Niger: Uturuki yaelekea Afrika

Kufuatia kujiondoa kwa Amerika na Ufaransa nchini Niger, Ankara ilichukua fursa ya kujaza pengo hilo na kuzidisha juhudi zake za kidiplomasia katika kushawishi nchi za bara la Afrika. Katika ripoti iliyochapishwa na tovuti ya “Middle East Eye”, imeelezwa kuwa uhusiano kati ya Uturuki na Niger umeonekana kuimarika, na pande hizo mbili zimetia saini makubaliano ya…

Baraza la Usalama laidhinisha MONUSCO kuipa SADC msaada wa kilojistiki DRC

Baraza la Usalama laidhinisha MONUSCO kuipa SADC msaada wa kilojistiki DRC

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio la kuidhinisha kikosi cha kusimamia amani cha umoja huo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo MONUSCO kutoa msaada wa kiutendaji na wa suhula na zana za kijeshi kwa ujumbe wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) nchini DRC. Rasimu ya azimio hilo iliyowasilishwa na…

Tanzania yaunga mkono juhudi za amani za Uturuki, asema Rais Samia Suluhu Hassan

Tanzania yaunga mkono juhudi za amani za Uturuki, asema Rais Samia Suluhu Hassan

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alisema kuwa nchi yake inaunga mkono juhudi za Uturuki za kutafuta suluhu na amani kwa mizozo ya kimataifa. “Vilevile tunaunga mkono wito wa dharura wa kusitishwa kwa mapigano kwa manufaa ya watu wa Gaza,” asema Hassan. “Pia tunaunga mkono wito wa dharura wa kusitishwa kwa mapigano kwa manufaa ya…