jafari

Je, utawala wa Kizayuni unakaribia malengo yake kwa kitendo cha ugaidi?! Vyombo vya habari vya Israeli vinajibu

Je, utawala wa Kizayuni unakaribia malengo yake kwa kitendo cha ugaidi?! Vyombo vya habari vya Israeli vinajibu

Baada ya kuuawa Ismail Haniyeh, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Hamas mjini Tehran, vyombo vya habari vya Israel vimechunguza iwapo mauaji hayo yameufanya utawala huo kuwa karibu na malengo yake tangu kuanza kwa vita dhidi ya Ghaza, yaani kuangamizwa Hamas. Kwa mujibu wa ripoti ya Al-Alam, ikinukuu Al Jazeera, vyombo vya habari vya utawala…

Tume ya uchaguzi nchini Uganda yatangaza tarehe ya uchaguzi mkuu wa 2026

Tume ya uchaguzi nchini Uganda yatangaza tarehe ya uchaguzi mkuu wa 2026

Tume ya Uchaguzi ya Uganda (EC) imetangaza ramani ya uchaguzi iliyorekebishwa ikitangaza tarehe ya uchaguzi wa rais na wabunge wa 2026. Jaji Simon Byabakama, mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi  amesema uteuzi wa wagombea urais na ubunge utafanywa kati ya Septemba 17 na Oktoba 3, 2025. Byabakama alisema kampeni hizo zitaanza wiki ya pili ya Oktoba…

Watu watatu wameuawa nchini Nigeria katika maandamano ya kupinga gharama kubwa ya maisha

Watu watatu wameuawa nchini Nigeria katika maandamano ya kupinga gharama kubwa ya maisha

Takriban waandamanaji watatu wameuawa katika jimbo la Kaduna nchini Nigeria siku ya Alhamisi, katika maandamano ya kupinga kupanda kwa gharama ya maisha na utawala mbovu. Msemaji wa polisi wa jimbo la Kaduna, Mansur Hassan, amesema polisi waliwarushia waandamanaji mabomu ya kutoa machozi na sio risasi za moto. Pia polisi walifyatua gesi ya kutoa machozi katika…

Tel Aviv yatoa onyo la kusafiri kwa wakazi wake

Tel Aviv yatoa onyo la kusafiri kwa wakazi wake

Baraza la Usalama la utawala wa Kizayuni liliwaonya Waisraeli kuhusu kusafiri katika “nchi zenye hatari”. Baraza la Usalama la Israel limewaonya Wazayuni dhidi ya kusafiri katika nchi 40 na kuwataka Waisraeli kwingineko kuchukua hadhari za ziada, ikiwa ni pamoja na kuepuka kuonesha utambulisho wao wa Israel au Wayahudi. Kwa mujibu wa gazeti la Kizayuni la…

Kinyang’anyiro cha Israeli Afrika: Uuzaji maji, silaha na uwongo

Kinyang’anyiro cha Israeli Afrika: Uuzaji maji, silaha na uwongo

Israel inajaribu kuandika historia upya kwa malengo ya kugusa mioyo ya Waafrika wa kawaida, Je itafanikiwa? Kwa miaka mingi, Kenya imetumika kama lango la Israeli kwa Afrika. Israel imekuwa ikitumia uhusiano mkubwa wa kisiasa, kiuchumi na kiusalama kati ya mataifa hayo mawili kama njia ya kupanua ushawishi wake katika bara hilo na kuyageuza mataifa mengine…

Taqwa katika masuala ya kiuchumi huanza na chakula: Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Taqwa katika masuala ya kiuchumi huanza na chakula: Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya Ijumaa – 26 Julai 2024   Hotuba ya 1: Taqwa katika masuala ya kiuchumi huanza na chakula Hotuba ya 2: Wazungumzaji wanaouza damu ya watoto wa Hussain (a) hawawezi kamwe kuwa…

Huyu ndiye Ismail Haniyeh, Kiongozi Mkuu wa Kisiasa wa HAMAS aliyeuawa shahidi Tehran

Huyu ndiye Ismail Haniyeh, Kiongozi Mkuu wa Kisiasa wa HAMAS aliyeuawa shahidi Tehran

Jumanne usku ya tarehe 30 Julai 2024, Ismail Haniyeh Kiongozi wa Tawi la Kisiasa la Harakati ya HAMAS ameuawa shahidi akiwa na mlinzi wake mmoja hapa Tehran. Ufuatao hapa chini ni wasifu kwa muhtasari wa maisha yake. Ismail Haniyeh alizaliwa mwaka 1962 katika kambi moja ya wakimbizi ya Ukanda wa Ghaza. Ukata na njaa iliyotokana…

Mkuu wa jeshi la Sudan Abdel-Fattah al Burhan anusurika katika jaribio la mauaji

Mkuu wa jeshi la Sudan Abdel-Fattah al Burhan anusurika katika jaribio la mauaji

Jeshi la Sudan limetangaza kuwa kamanda wake mkuu, Jenerali Abdel-Fattah al Burhan amenusurika katika shambulio la ndege mbili sisizo na rubani (droni) katika hafla ya wahitimu wa jeshi. Watu watano wameuawa katika hujuma hiyo ya droni mashariki mwa Sudan. Jeshi la Sudan limeeleza katika taarifa yake kuwa shambulio hilo la droni mbili limetokea katika mji…