jafari

Je, waliohai wanapaswa kumfanyia nini marehemu?

Je, waliohai wanapaswa kumfanyia nini marehemu?

Njia bora ya kukubalika Dua ni mtu kumswalia Mtume Muhammad na familia yake mwanzoni na mwisho wa Dua. Ukifunga maombi katika bahasha ya baraka na kuipeleka kwa Mungu, hakika Mungu ataikubali. ﴿إِنَّ الَّذِينَ آمَنُوا وَالَّذِينَ هَادُوا وَالنَّصَارَىٰ وَالصَّابِئِينَ مَنْ آمَنَ بِاللَّهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ وَعَمِلَ صَالِحًا فَلَهُمْ أَجْرُهُمْ عِندَ رَبِّهِمْ وَلَا خَوْفٌ عَلَيْهِمْ وَلَا هُمْ يَحْزَنُونَ﴾…

Mwenendo wa maisha, jamii na Qur’an/Mwezi wa Rajab, fursa ya kuendelea zaidi: Ustadh Syed Jawad Naqvi

Mwenendo wa maisha, jamii na Qur’an/Mwezi wa Rajab, fursa ya kuendelea zaidi: Ustadh Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustadh Syed Jawad Naqvi (Kiongozi mkuu Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imehutubiwa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan KHUTBA YA IJUMAA 3 JANUARI 2025 Khutba ya 1: Mwenendo wa maisha, jamii na Qur’an. Imam Khomeini (r.a) alikuwa na ufahamu wa kina wa dini ambao wengine wachache tu ndiyo waliokuwa nao. Watu wengi…

Kwa nini Quran inajitangaza kuwa Ufunuo ambao ni “Mubarak”: Ustadh Syed Jawad Naqvi

Kwa nini Quran inajitangaza kuwa Ufunuo ambao ni “Mubarak”: Ustadh Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustadh Syed Jawad Naqvi (Kiongozi mkuu Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imehutubiwa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Khutba ya Ijumaa – 27 Desemba 2024 Khutba ya 1: Kwa nini Quran inajitangaza kuwa Ufunuo ambao ni “Mubarak” Kuna tofauti ya kimsingi kati ya maisha ya binadamu na maisha ya wanyama. Wanyama wanaishi…

KHUTBA YA TATU KATIKA MUNASABA WA SHAHADA YA HADHRAT ZAHRA(SA), SYED JAWAD NAQVI

KHUTBA YA TATU KATIKA MUNASABA WA SHAHADA YA HADHRAT ZAHRA(SA), SYED JAWAD NAQVI

فقالت فاطمۃ الزہرا سیدۃ نساء العالمین علیہا السلام فَجَعَلَ اللهُ الإيمانَ تَطْهيراً لَكُمْ مِنَ الشِّرْكِ، وَالصَّلاةَ تَنْزِيهاً لَكُمْ عَنِ الكِبْرِ، والزَّكاةَ تَزْكِيَةً لِلنَّفْسِ وَنَماءً في الرِّزْق، والصِّيامَ تَثْبيتاً للإِخْلاصِ، والحَجَّ تَشْييداً لِلدّينِ، وَالعَدْلَ تَنْسيقاً لِلْقُلوبِ، وَطاعَتَنا نِظاماً لِلْمِلَّةِ، وَإمامَتَنا أماناً مِنَ الْفُرْقَةِ، وَالْجِهادَ عِزاً لِلإْسْلامِ، وَالصَّبْرَ مَعُونَةً عَلَى اسْتِيجابِ الأْجْرِ، وَالأْمْرَ بِالْمَعْرُوفِ مَصْلَحَةً لِلْعامَّةِ، وَبِرَّ…

Taqwa katika kulinda katiba ya maisha: Syed Jawad Naqvi

Taqwa katika kulinda katiba ya maisha: Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustadh Syed Jawad Naqvi (Kiongozi mkuu Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imehutubiwa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan KHUTBA YA IJUMAA – 20 DESEMBA 2024   Khutba ya 1: Taqwa katika kulinda katiba ya maisha. Mali unazoendeleza bila ya kuzilinda hatimaye hupotea. Mwenyezi Mungu ametoa mwongozo kwa ajili ya maendeleo ya wanadamu,…

Chuo kikuu cha Daystar Kenya chafuta mkataba na ‘Israel’ baada ya malalamiko ya umma

Chuo kikuu cha Daystar Kenya chafuta mkataba na ‘Israel’ baada ya malalamiko ya umma

Siku mbili tu baada ya Chuo Kikuu cha Daystar cha Kenya kutia saini mkataba na ubalozi wa utawala Israel  jijini Nairobi  kuanzisha ‘Msitu wa Zion’ kwenye chuo chake, taasisi hiyo imebatilisha uamuzi wake kufuatia hasira za wananchi katika mitandao ya kijamii hasa X. Makubaliano hayo, yaliyotangazwa Jumatatu, yalilenga kupanda miti 5,000 ‘ya kibiblia’ kwenye uwanja…

Chad yawataka wanajeshi wa Ufaransa kuondoka nchini humo ifikapo 31 Januauri 2025

Chad yawataka wanajeshi wa Ufaransa kuondoka nchini humo ifikapo 31 Januauri 2025

Serikali ya Chad imeitaka Ufaransa kuwa imewaondoa wanajeshi wake katika ardhi yake ifikapo Januari 31. Imethibitishwa kwamba takwa hili liliwasilishwa huko Paris jana Disemba 19. Hata hivyo, afisa wa ngazi ya juu wa kijeshi wa Ufaransa, ameviambia vyombo vya habari, kwamba itakuwa vigumu kuondoa kikosi kizima cha jeshi katika kipindi cha wiki saba. N’Djamena inasema…

Rais Ruto afanya mabadiliko serikalini Kenya, awateua wandani wa mtangulizi wake, Uhuru Kenyatta

Rais Ruto afanya mabadiliko serikalini Kenya, awateua wandani wa mtangulizi wake, Uhuru Kenyatta

Rais William Ruto wa Kenya amefanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri kwa kuwateua watu wa karibu kwa mtangulizi wake, Uhuru Kenyatta kushika nyadhifa kwenye serikali yake. Duru za habari za Kenya zimeandika kuwa, washirika wa karibu wa Rais Mstaafu, Uhuru Kenyatta, Mutahi Kagwe na Lee Kinyanjui na aliyekuwa gavana wa Kiambu William Kabogo, wameteuliwa mawaziri…