Sababu kuu ya umma kukaa kimya kunako Palestina inahitaji utambuzi:Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Principal Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) imetolewa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya Ijumaa – 21st June, 2024 Hotuba ya 1: Maana ya Wilaya katika fasihi ya Kiarabu na Qur’an Hotuba ya 2: Sababu kuu ya umma kukaa kimya kunako Palestina inahitaji utambuzi Maisha ya…