jafari

Kiongozi Muadhamu: Amali za Hija zinawatia wahaka maadui

Kiongozi Muadhamu: Amali za Hija zinawatia wahaka maadui

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema amali za ibada tukufu ya Hija zinawatia hofu na wasiwasi mkubwa maadui. Tovuti ya Kiongozi Muadhamu (Khamenei.ir) imechapisha sehemu ya ujumbe wa Ayatullah Sayyid Ali Khamenei utakaotolewa kesho Jumamosi kwa Mahujaji, kwa mnasaba wa Hija ya mwaka huu. Sehemu ya ujumbe huo wa Kiongozi Muadhamu inasema: Unapotafakari kuhusu…

Watu 42 waliuawa kufuatia mashambulizi ya wanamgambo nchini Kongo

Watu 42 waliuawa kufuatia mashambulizi ya wanamgambo nchini Kongo

Mamlaka za eneo nchini Kongo zimetangaza kuwa takriban watu 42 wameuawa kufuatia shambulio la wanamgambo wanaohusishwa na waasi wa Uganda. Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters, takriban watu 42 waliuawa katika shambulizi la wanamgambo mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika jimbo la Kivu Kaskazini siku ya Alhamisi. Maafisa walisema shambulio hilo…

Ajali ya ndege ya makamu wa rais wa Malawi

Ajali ya ndege ya makamu wa rais wa Malawi

Ofisi ya Rais wa Malawi ilitangaza kuwa ndege iliyombeba Makamu wa Rais ikiwa na abiria 9 ilitoweka kwenye rada. Vyombo vya habari vya nchini Malawi viliripoti kuwa ndege iliyombeba Saulus Chilima, makamu wa rais wa nchi hii ya Afrika Mashariki, haikuweza kupatikana na mahali ilipo. Taarifa ya ofisi ya Rais wa Malawi inaeleza kuwa ndege…

Hamas imeanza vita ambayo haitaisha mpaka Israel itakapo tokomezwa: Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hamas imeanza vita ambayo haitaisha mpaka Israel itakapo tokomezwa: Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Principal Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya Ijumaa – 7 June, 2024 Hotuba ya1: Mama wa Taqwa zote ni mfumo wa kisiasa wa kiungu kuubadilisha mfumo wa na mifumo mingine ni dhihaka Hotuba ya 2: Hamas imeanza vita ambayo haitaisha…

Majeshi ya Marekani yalianza kuondoka Niger

Majeshi ya Marekani yalianza kuondoka Niger

Baada ya kuondoka kwa wanajeshi wa Ufaransa nchini humo, Mkuu wa Majeshi ya Ardhini ya Jeshi la Niger alitangaza kuwa, kuondolewa kwa wanajeshi wa Marekani kutoka Niger pia kumeanza. Kwa mujibu wa Kanali Mamani Sunny Kyaw, Mkuu wa Majeshi ya Ardhini ya Jeshi la Niger, aliandika: “Marekani imeanza rasmi kuondoa vikosi vyake kutoka Niger, na…

Magazeti ya Afrika Mashariki yaakisi safari ya Rais wa Iran katika nchi za Afrika

Magazeti ya Afrika Mashariki yaakisi safari ya Rais wa Iran katika nchi za Afrika

Magazeti na vyombo vingine vya habari vya nchi za Afrika Mashariki vimeakisi kwa mapana safari ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye leo Jumanne anatazamiwa kuondoka nchini kuelekea barani Afrika kwa ziara ya siku tatu ya kuzitembelea nchi za Kenya, Uganda na Zimbabwe. Sehemu ya juu ya ukurasa wa mbele wa gazeti la…

Mabaki ya ndege ya makamu wa rais wa Malawi yapatikana

Mabaki ya ndege ya makamu wa rais wa Malawi yapatikana

Shirika la habari la AFP liliripoti kuwa baada ya kupotea kwa ndege iliyombeba makamu wa rais wa Malawi, vikosi vya uokoaji vimegundua mabaki ya ndege hiyo. Chanzo cha kijeshi kiliiambia AFP kuwa mabaki ya ndege iliyombeba makamu wa rais wa Malawi, ambayo ilitoweka kwenye skrini ya rada kutokana na hali mbaya ya hewa, yamepatikana. Leo,…

Shambulio katika ubalozi wa Amerika nchini Sydney

Shambulio katika ubalozi wa Amerika nchini Sydney

Jengo la Ubalozi mdogo wa Marekani huko Sydney Kaskazini, Australia lilishambuliwa na kuharibiwa huku polisi wakifanya uchunguzi. Picha za CCTV zilizopatikana na polisi zimeonyesha kwamba mtu aliyevaa kofia iliyofunikwa, ambaye uso wake hauko wazi amejaribu kuvunja madirisha ya Ubalozi wa Marekani huko Sydney kwa nyundo hii leo Jumatatu mwendo wa saa 3:00 asubuhi. Kulingana na…