Wanafunzi Watanzania waliokwama Ukraine wawasili Moscow
Kundi la wanafunzi Watanzania 11 waliokuwa wamekwama Summy nchini Ukraine wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Urusi Balozi Frederick Kibuta na Maafisa Ubalozi baada ya kuwasili Moscow nchini Urusi salama. Jeshi la Russia kutumika kuokoa wanafunzi wa Tanzania Ukraine Russia imetengeneza njia ya usalama kuwawezesha wanafunzi wa Tanzania walioko katika Chuo…
Ukraine: Tumepoteza mawasiliano yote na Chernobyl
Ukraine imeliambia Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki kwamba imepoteza mawasiliano kabisa na kinu cha nyuklia cha Chernobyl kilichokataliwa. IAEA ilisema katika taarifa yake siku ya Ijumaa kwamba wakala wa nyuklia wa Ukraine uliarifu shirika hilo siku ya Alhamisi. Shirika hilo lilisema katika taarifa yake: Shirika la Nishati ya Atomiki la Ukraine (IAEA) liliambia…
Wanafunzi warejea nchini Nigeria wakitokea Ukraine huku kesi za maambukizi ya Corona zikiongezeka
Nigeria imetangaza ongezeko la maambukizo ya Covid-19 siku moja baada ya kusajili idadi ndogo zaidi ya kila siku iliyorekodiwa tangu kuanza kwa janga hilo. Siku ya Jumatatu iliyopita Kituo cha Kudhibiti Magonjwa cha Nigeria kilitangaza visa viwili pekee vilivyorekodiwa nchini humo vya maambukizi ya corona. Siku ya Jumanne mamlaka ya afya ilirekodi maambukizo mapya 118 ya…
Iran ni nchi ya kwanza ya Kiislamu kurusha satalaiti kwenye anga za mbali
Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema kuwa na uwezo wa kujirushia satalaiti katika anga za mbali ni kigezo cha nchi iliyostawi duniani na kuongeza kuwa, pamoja na kuwepo vikwazo vingi vya kimataifa, vijana wa taifa la Iran katika IRGC wamefanikiwa kurusha satalaiti katika anga za mbali. Jana Jeshi la Walinzi…
Russia: Shambulio la hospitali ya watoto sio Habari za Kweli
Russia imekanusha habari kuwa imeshambulia hospitali ya watoto katika mji wa Mariupol nchini Ukraine na kutangaza kuwa, jengo linalodaiwa kushambuliwa lilikuwa liimeshatekwa na askari wake kabla ya shambulio hilo. Dmitry Polyanskiy, naibu wa kwanza wa balozi na mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema katika ujumbe alioandika kwenye mtandao wa kijamii wa…
Iran ; Utawala wa Kizayuni utarajie Jibu Kali kwa Jinai walioitenda
Ndege za kivita za Israel zilishambulia eneo la Reef mjini Damascus – Syria mnamo siku ya Jumatatu asubuhi (Machi 6), na kuwaua Wairani wawili miongoni mwa watetezi wa Haram tukufu. Wawili hao wakifahamika kama Morteza Saeed Nejad na Ehsan Karbalaeipour waliuawa huku Tehran ikisisitiza kuwa, italipiza kisasi cha damu za mashahidi wake, na kuhusiana na…
Imarati Yajenga vitongoji kwa ajili ya askari wa Israel katika mji wa Socotra, Yemen
Umoja wa Falme za Kiarabu umeripotiwa kujenga vitongoji katika kisiwa cha kistratijia cha Yemen cha Socotra ambacho kinakaliwa kwa mabavu na Imarati, kwa ajili wanajeshi wa utawala haramu wa Israel; zaidi ya mwaka mmoja baada ya tawala hizo mbili kuanzisha uhusiano wa kawaida. Tovuti ya habari ya “Yemen News Portal” imenukuu vyanzo vya habari ambavyo…
Waandamanaji wa Pakistan walaani shambulio la kigaidi katika Msikiti Mkuu wa Imamiyah huko Peshawar
Miji mbalimbali nchini Pakistani ilishuhudia maandamano ya kulaani shambulio la kigaidi dhidi ya waumini Mashia huko Peshawar. Baraza la Umoja wa Waislamu lilifanya maandamano makubwa katika maeneo tofauti ya nchi, hususan katika mji mkuu wa Pakistan, Islamabad, wakilalamikia mauaji yakikatili katika Msikiti Mkuu wa Imamiyah huko Peshawar. Mauaji hayo yalizua hisia na kumbukumbu za msururu…