jafari

Shambulio la kigaidi magharibi mwa Nigeria, 14 wauawa huku 15 wakitekwanyara

Shambulio la kigaidi magharibi mwa Nigeria, 14 wauawa huku 15 wakitekwanyara

Magaidi wenye silaha wamevishambulia vijiji viwili katika jimbo la Niger magharibi mwa Nigeria na kuua watu 14 na kuwateka nyara wengine 15. Gazeti la Tribune la nchini Nigeria limeripoti kuwa, magaidi waliokuwa na silaha jana Jumatatu waliwafyatulia risasi na kuwaua wakazi 14 wa vijiji hivyo viwili katika jimbo la Niger magharibi mwa nchi hiyo sambamba…

Harakati zinazotia shaka katika mkoa wa Al-Mohra nchini Yemen; Kuwasili kwa maafisa wa Kizayuni

Harakati zinazotia shaka katika mkoa wa Al-Mohra nchini Yemen; Kuwasili kwa maafisa wa Kizayuni

Duru za habari za serikali iliyojiuzulu ya Yemen zimetangaza ujio wa idadi ya watu kadhaa ya maafisa wa Kizayuni katika mkoa wa kistratijia wa Al-Mohra ulioko mashariki mwa Yemen. Duru za habari za serikali iliyojiuzulu ya “Abd al-Mansour Hadi” huko Yemen zimetangaza kuwasili kwa idadi mpya ya maafisa wa utawala wa Kizayuni katika mkoa wa…

Putin aliamuru jeshi la Urusi kuingia mashariki mwa Ukraine

Putin aliamuru jeshi la Urusi kuingia mashariki mwa Ukraine

Ikulu ya Kremlin imetangaza kuwa rais wa Urusi ameitaka Wizara ya Ulinzi ya Urusi kutia saini makubaliano na mikoa ya Donetsk na Luhansk iliyoko mashariki mwa Ukraine ili kutuma wanajeshi kulinda amani katika maeneo hayo. Kwa mujibu wa Huduma ya Kimataifa ya Shirika la Habari la Fars, baada ya uamuzi wa Rais wa Urusi Vladimir…

Hizbullah : Tumeonyesha sehemu ndogo tu ya uwezo wa kivita tuloinao

Hizbullah : Tumeonyesha sehemu ndogo tu ya uwezo wa kivita tuloinao

Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah imesema imeonyesha sehemu ndogo tu ya uwezo wake wa kivita ambao umeushtua na kuudhalilisha utawala wa Kizayuni wa Israel. Mwenyekiti wa ‘Mrengeo wa Muqawama’ (Mapambano ya Kiislamu)’  ambao ni tawi la kisiasa la Hizbullah katika Bunge la Lebanon amesema mafanikio ya ndege isiyo na rubani au drone…

Raisi awasili nchini Qatar, na kulakiwa na Emir mjini Doha

Raisi awasili nchini Qatar, na kulakiwa na Emir mjini Doha

Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo amewasili mji mkuu wa Qatar, Doha na kulakiwa na kiongozi wa nchi hiyo, Emir Tamim bin Hamad al-Thani. Baada ya kulakiwa rasmi katika uwanja wa ndege, viongozi hao wawili wamefanya mazungumzo kuhusu masuala ya uhusuano wa nchi mbili, kieneo na kimataifa. Katika safari hiyo ya…

Zaidi ya silimia 90 ya wananchi wa Afghanistan hawana chakula cha kutosha, WFP yatangaza

Zaidi ya silimia 90 ya wananchi wa Afghanistan hawana chakula cha kutosha, WFP yatangaza

Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP) limetangaza kuwa, asilimia 95 ya wananchi wa Afghanistan hawana chakula cha kutosha. Taarifa yay Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP) kanda ya Asia-Pasific imeeleza kwamba, katika miezi ya hivi karibuni hali ya kibinadamu nchini Afghanistn imezidi kuwa mbaya na kwamba, idadi ya watu…

Kenya miongoni mwa nchi zitakazoanza kutengeneza chanjo za Covid-19 kwa teknolojia ya mNRA

Kenya miongoni mwa nchi zitakazoanza kutengeneza chanjo za Covid-19 kwa teknolojia ya mNRA

Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, nchi sita za Afrika zimechaguliwa kuanza utengenezaji wao wa chanjo za Covid-19 kwa kutumia teknolojia ya mfumo wa mRNA. Kenya, Afrika Kusini, Nigeria, Senegal, Misri na Tunisia zimechaguliwa kuwa nchi za kwanza kupokea teknolojia ya mRNA kutoka kituo Shirika la Afya Duniani (WHO) cha kimataifa, katika bara hilo…

Mali imeitaka Ufaransa kuwaondoa askari wake walioko nchini haraka iwezekanavyo

Mali imeitaka Ufaransa kuwaondoa askari wake walioko nchini haraka iwezekanavyo

Serikali ya mpito ya Mali imeitaka Ufaransa kuwaondoa bila kuchelewa askari wake wa operesheni Barkhane na Takuba nchini Mali. Takwa hilo la Mali linakuja masaa machache tu baada ya tangazo la Rais Emmanuel Macron na washirika wake la kuwaondoa askari wa nchi zao kutoka Mali katika miezi michache ijayo. Akitangaza uamuzi huo kupitia televisheni ya…