Je, Israel itaweza kuilinda Imarati dhidi ya ndege zisizo na rubani na makombora ya vikosi vya Yemen?
Wayemen wamesisitiza mara kwa mara kwamba vita vya muungano wa Saudia na Imarati dhidi ya Yemen katika kipindi cha miaka saba iliyopita kiuhakika ni vita vya Israel na Marekani, na kwamba tawala hizi mbili za Kiarabu na baadhi ya mamluki wengine wa kanda ya Kiarabu ni maonyesho tu ya vita hivi. Sisitizo la ajabu la…
Nigeria ; Waislamu waandamana kulaani mauaji ya kimbari nchini Yemen na jinai za muungano vamizi uliopo chini ya uongozi wa Saudi Arabia
Katika kuitikia wito wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria Waislamu nchini Nigeria wameandamana katika mji mkuu wa nchi hiyo Abuja, kulaani jinai za muungano vamizi unaoongozwa na utawala wa Saudi Arabia ambao umeendelea kutenda jinai na mauaji ya kimbari nchini Yemen. Waandamanaji hao wakiwa wamebeba mabango na maberamu yenye jumbe mbalimbali wametangaza himaya na uungaji…
Qatar yasisitiza azma yake ya kustawisha zaidi uhusiano na Iran
Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema nchi yake iko tayari kustawisha zaidi uhusiano wa pande mbili na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Sheikh Muhammad bin Abdurahman Al Thani ametoa sisitizo hilo katika mazungumzo aliyofanya na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian pembeni ya mkutano wa 58 wa usalama wa Munich…
Hizbullah: Ndege ya upelelezi tunayoimiliki imeingia katika ardhi za Palestina na kutoka bila ya tatizo lolote
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon ya Hizbullah imetangaza kuwa ndege yake moja isiyo na rubani aina ya “Hassan” imeingia hadi ndani ya anga ya ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu zilizopewa jina la Israel kwa ajili ya kufanya upelelezi. Duru za habari ziliripoti siku ya Ijumaa kuwa, sauti za ving’ora vya hali ya…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini: Hivi karibuni tutachukua hatua dhidi ya ubaguzi wa rangi wa Israel
Faraan : Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini alikosoa vikali utawala huo ghasibu na ubaguzi wake wa rangi dhidi ya Wapalestina. Kulingana na Fars News Agency International Group; Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini Nalidi Bandur katika hotuba yake mbele ya bunge aliukosoa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa uvamizi wake…
Uteketezaji wa Bendera za Israel nchini Bahrain, hatua ya kulaani safari ya Bennett
Faraan : Waandamanaji wenye hasira nchini Bahrain wameteketeza kwa moto bendera za utawala wa Kizayuni wa Israel wakilaani safari ya siku mbili ya Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Naftali Bennet katika nchi hiyo ndogo ya Ghuba ya Uajemi. Maandamano yamefanyika kote katika nchi hiyo huku waandamanaji wakikanyaga bendera za Israel na kuziteketeza huku wakiwa…
Rais Abdelmadjid Tebboune : Morocco na Israel chanzo cha fitina nchini Algeria
Faraan : Rais wa Algeria amesema kuwa Israel na Morocco zinafanya njama ya kuibua hitilafu kati ya Ofisi ya Rais na Jeshi la Algeria na kuzusha fitna nchini humo. Kwa mujibu wa shirika la habari la Fars, Rais Abdelmadjid Tebboune wa Algeria amesema kwamba, Morocco na utawala wa Kizayuni wa Isarael ndio wanaoendesha njama za kuzusha fitina na kueneza…
Khatibu wa Sala ya Ijumaa – Tehran; Iran ni mlinzi wa amani katika eneo na Ulimwengu wa Kiislamu
Hujjatul-Islam Mohammad Hossein Abu Turabi Fard, khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni mingoni mwa nchi chache zenye nguvu za kiulinzi za kudhamini amani na usalama wa eneo na wa Ulimwengu wa Kiislamu. Aidha amebainisha kuwa, nguvu na uwezo mkubwa wa kisiasa, kiulinzi, kiutaalamu na wa…