jafari

Sheikh Juma Ngao amshauri Rais Ruto kutokana na kujihusisha na mambo ya Kundi la Wahouthi

Sheikh Juma Ngao amshauri Rais Ruto kutokana na kujihusisha na mambo ya Kundi la Wahouthi

Kenya imeonywa dhidi ya kuingilia mzozo wa Yemen unaohusisha vikosi vya serikali na kundi la Wahouthi. Akizungumza mjini Mombasa siku ya Alhamisi, mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la Waislamu Kenya (KEMNAC) Sheikh Juma Ngao, alisema hatua hiyo itaweka Kenya katika hatari na hatari kubwa kutoka kwa waasi. Alisema Kenya imekuwa na uhusiano wa karibu na…

Waziri Mkuu wa Denmark ashambuliwa na kupigwa Copenhagen

Waziri Mkuu wa Denmark ashambuliwa na kupigwa Copenhagen

Waziri Mkuu wa Denmark Bi Mette Frederiksen alishambuliwa jana Ijumaa alipokuwa kwenye bustani ya Copenhagen, mji mkuu wa nchi hiyo. Shambulio hilo limethibitishwa ofisi yake. Ofisi Waziri Mkuu huyo Bi Mette Frederiksen imeziambia duru za habari kwamba Waziri Mkuu huyo alipigwa na mtu mmoja Ijumaa jioni katika eneo la Kultorvet mjini Copenhagen na kuongeza kuwa…

Mahojiano ya Rais William Ruto: Kenya ina nafasi gani katika jukwaa la kimataifa?

Mahojiano ya Rais William Ruto: Kenya ina nafasi gani katika jukwaa la kimataifa?

Redi Tlhabi anajadili jukumu la Kenya kama mshirika wa Marekani na mshirika wa usalama na Rais William Ruto. Rais wa Marekani Joe Biden alimkaribisha Rais wa Kenya William Ruto katika ziara ya kwanza rasmi ya rais wa Afrika tangu 2008. Viongozi hao wawili walijadili ushirikiano wa kina kuhusu uwekezaji wa Marekani katika biashara ya Kenya,…

Ripoti kuhusu njaa ya Sudan na hasara ya dola bilioni 200 kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe

Ripoti kuhusu njaa ya Sudan na hasara ya dola bilioni 200 kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe

Mauaji na vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan ambavyo vimedumu kwa zaidi ya mwaka mmoja vimesababisha uharibifu wa zaidi ya dola bilioni 200 kwa uchumi wa nchi hiyo. Ripota wa Mtandao wa Habari wa Al-Alam nchini Sudan aliripoti: Sudan imekuwa katika vita vya wenyewe kwa wenyewe na mauaji kwa zaidi ya mwaka mmoja, uharibifu…

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuacha kutumia sarafu ya dola

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuacha kutumia sarafu ya dola

Benki Kuu ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetoa agizo la kupunguza matumizi ya dola ya Marekani katika miamala ya sasa ya bidhaa na huduma mbalimbali nchini humo. Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inajaribu kupunguza utegemezi wa uchumi wa nchi hiyo kwa sarafu ya dola ya Marekani, na kuhusiana na hilo, hivi karibuni benki kuu…

Maldives kuwapiga marufuku Waisraeli kuingia nchini humo

Maldives kuwapiga marufuku Waisraeli kuingia nchini humo

Maldives imetangaza kuwa itawapiga marufuku wenye paspoti za utawala haramu wa Israel kuingia katika visiwa hivyo vinavyopatikana katika Bahari ya Hindi. Serikali ya Jamhuri ya Maldives imesema inaandaa sheria ya kuwapiga marufuku Waisraeli kuingia katika nchi hiyo ndogo ya Asia Kusini, ambayo aghalabu ya wakazi wake ni Waislamu. Msemaji wa Ofisi ya Rais Mohamed Muizzu wa…

Korea Kusini yataka nini Afrika?

Korea Kusini yataka nini Afrika?

Baada ya kufanya mkutano na viongozi wa Afrika, Korea Kusini imeonyesha kuwa inataka kuwafikia wapinzani wake China, Japan, Urusi na India ili kuongeza ushawishi wake miongoni mwa nchi za bara hilo kwa kuongeza uwekezaji na kuendeleza ushirikiano wa pamoja. Kutoka tovuti ya Nation Africa, Korea Kusini ilifanya mkutano wa kwanza na wakuu wa nchi za…

Viongozi wa Kiislamu Tanzania walaani vitendo vya ushoga

Viongozi wa Kiislamu Tanzania walaani vitendo vya ushoga

Viongozi wa dini ya Kiislamu nchini Tanzania wameendelea kukemea vitendo vya ushoga vinavyooenekana kushamiri katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki. Sheikh Alhad Mussa ambaye ni Mwenyekiti wa Maridhiano na Amani Tanzania, ameitaka serikali kuchunguza sakata la ushoga linalodaiwa kufanyika katika Hoteli ya Ramada jijini Dar es Salaam. Alhad ametoa mwito huo katika mkutano wa Semina ya Viongozi…