jafari

Iran yaadhimisha miaka 43 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu

Iran yaadhimisha miaka 43 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu

Leo Ijumaa tarehe 22 Bahman, sawa na tarehe 11 Februari, wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wanaadhimisha sherehe za miaka 43 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu hapa nchini. Katika sherehe hizo mamilioni ya wananchi wa taifa hili watamiminika mabarabarani katika maandamano ya amani ya kumbukumbu ya ushindi wa mapinduzi ya Kiislamu, ambapo kwa mara…

Kiswahili Sasa Kutumiwa Na AU katika Uendeshaji wa Vikao Vyao

Kiswahili Sasa Kutumiwa Na AU katika Uendeshaji wa Vikao Vyao

UMOJA wa Afrika (AU) sasa utaanza kutumia Kiswahili kama moja ya lugha kuu kuendeshea kazi zake, kufuatia hoja iliyopitishwa kwenye kongamano kuu la shirika hilo Jumapili jijini Addis Ababa, Ethiopia. Ombi hilo liliwasilishwa na Makamu wa Rais wa Tanzania, Philip Mpango (pichani), akishikilia kuwa Kiswahili kinapaswa kukwezwa hadhi na kuanza kutumika kutekelezea shughuli za kikazi…

Ushawishi wa Uzayuni katika Benki ya Dunia

Ushawishi wa Uzayuni katika Benki ya Dunia

Mnamo mwaka wa 1944, Bretton Woods, mji unaopatikana kwenye Jimbo la New Hampshire kwa ushirikiano na Marekani, waliidhinisha uanzilishi wa Shirika la Fedha la Kimataifa na Benki ya Dunia. Waanzilishi wakuu wa shirika hilo walikuwa Bretton Woods na baadaye IMF, ” Harry Dexter White ” na ” John Maynard Keynes “.Mnamo Oktoba 16, 1953, White…

Wapalestina watoa shukrani kwa AU kwa kuitoa Israel kwenye umoja wa Afrika

Wapalestina watoa shukrani kwa AU kwa kuitoa Israel kwenye umoja wa Afrika

Harakati za muqawama wa Palestina za Hamas na Jihad al Islami zimeushukuru Umoja wa Afrika (AU) kwa kuutimua utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye umoja huo na kusema kuwa, hatua hiyo ni pigo kwa zile nchi zinazotangaza uhusiano wa kawaida na utawala huo katili. Wakuu wa Umoja wa Afrika (AU), jana Jumapili walisimamisha nafasi ya mwanachama…

Takriban Wayemen elfu nne ni wahanga wa mabomu ya vishada ya Saudia na washirika wake

Takriban Wayemen elfu nne ni wahanga wa mabomu ya vishada ya Saudia na washirika wake

Mabomu ya vishada ya muungano vamizi katika vita vya Yemen unaoongozwa na Saudi Arabia yanayovurumishwa kwa wananchi wasio na hatia hadi kufikia mwaka jana wa 2021 yameuwa raia karibu elfu nne wa nchi hiyo. Taasisi za Umoja wa Mataifa likiwemo Shirika la Afya Duniani (WHO) na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) zimetahadharisha mara…

Al Houthi: Uamuzi wa AU dhidi ya Israel ni pigo kubwa kwa wanaopatana na Wazayuni

Al Houthi: Uamuzi wa AU dhidi ya Israel ni pigo kubwa kwa wanaopatana na Wazayuni

Mjumbe mmoja mwandamizi wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesema kuwa, hatua ya Umoja wa Afrika (AU) ya kuutimua utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye umoja huo ni pigo kubwa kwa wale wanaojipendekeza kwa utawala huo dhalimu. Muhammad al Houthi amesema kuwa, uamuzi wa Umoja wa Afrika ni pigo kubwa pia kwa zile nchi…

Waziri Mkuu wa Mali alalamika dhidi ya uungaji mkono wa Ufaransa kwa magenge ya kigaidi

Waziri Mkuu wa Mali alalamika dhidi ya uungaji mkono wa Ufaransa kwa magenge ya kigaidi

Waziri Mkuu wa Mali, Choguel Kokalla Maiga, ameishutumu serikali ya kikoloni ya Ufaransa kwa vitendo vyake vilivyo dhidi ya nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika na kusema kuwa, Wafaransa walipaswa kutusaidia, lakini badala yake wanayasaidia magenge ya kigaidi yanayopigania kujitenga na wanazichochea nchi za Ulaya ziiwekee vikwazo nchi ya Mali. Ameishutumu vikali Ufaransa kwa kutoheshimu makubaliano…

Kongresi ya Taifa ya Yemen: Uhusiano na Ansarullah ni muhimu na wa kimkakati

Kongresi ya Taifa ya Yemen: Uhusiano na Ansarullah ni muhimu na wa kimkakati

Kongresi ya Taifa ya Yemen imesema kuwa upo uhusiano imara kati ya viongozi wa chama hicho na harakati ya Ansarullah na kwamba propaganda na hujuma za vyombo vya habari za mamluki adui na wanaofanya khiyana haziathiri kivyovyote uhusinao wao huo. Sekretariati ya chama cha Kongresi ya Taifa cha Yemen jana Jumapili ilitoa taarifa na kutangaza…