Jeshi la Yemen lafanya mashambulizi ya kombora kwenye chumba cha operesheni cha UAE
Jeshi la Yemen limesema kuwa limerusha kombora katika chumba cha operesheni cha UAE katika mkoa wa Shabwa (kusini mwa Yemen). Asubuhi ya leo (Jumanne) Msemaji wa Jeshi la Yemen, Brigedia Jenerali Yahya Sari, ametangaza kwamba kombora limerushwa kwenye Jumba la Operesheni la UAE na mamluki wake lililopo katika maene ya kusini mwa Yemen. Msemaji huyo…
Syria yatungua makombora ya Israel yaliyokuwa yanalenga Damascus
Mfumo wa ngao ya makombora wa Syria umefanikiwa kutungua makombora kadhaa ya utawala haramu wa Israeli yaliyokuwa yamevurumishwa kuelekea kwenye mji mkuu wa nchi hiyo, Damascus. Shirika rasmi la habari la Syria, SANA, limeropoti kuwa mapema Jumatatu Alfajiri, makombora ya Israel yakipitia mashariki mwa mji wa Lebanon wa Rayaq, yalikuwa yanaelekea Damascus kabla ya kutunguliwa….
Malengo ya safari ya Rais wa utawala wa Kizayuni wa Israel nchini Imarati, ni yapi ?
Isaac Herzog, rais wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, jana Jumapili tarehe 30 Januari aliwasili mjini Abu Dhabi katika safari ya kwanza rasmi ya kuutembelea Umoja wa Falme za Kiarabu, Imarati. Safari ya Herzog nchini Imarati ni ya kwanza kufanywa na rais wa utawala wa Kizayuni katika nchi hiyo ya Kiarabu. Kabla ya kuelekea huko,…
Harakati za pembetatu za Saudia, UAE na utawala wa Kizayuni dhidi ya Yemen zazidi kuongezeka
Shambulizi lililofanywa hivi majuzi la makombora na ndege zisizo na rubani za jeshi la Yemen na harakati ya Ansarullah dhidi ya Imarati limeonyesha kuwa harakati za pembetatu ya Saudi Arabia, Imarati na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Yemen zimeongezeka. Shambulizi hilo lilifanyika kujibu jinai na uhalifu unaoendelea kufanywa na Saudia Arabia na washirika…
Makabiliano makali kati ya majeshi ya Wananchi wa Yemen na muungano wa Saudia katika mkoa wa Shabwa
‘Wadi al-Nahr’sehemu ipatikanayo katika eneo la Bayhan magharibi mwa mkoa wa Shabwa wa Yemen leo hii imeshuhudia makabiliano makali kati ya vikosi vya jeshi na Kamati za Wananchi wa Yemen kwa upande mmoja, na washiriki wa UAE kwa uungaji mkono wa Jeshi la Wanahewa la Saudia wakiwa upande mwingine. Mashambulizi ya anga ya muungano wa…
Kwa mara nyengine tena wanajeshi wa Kizayuni wajilipua wenyewe
Faraan – Msemaji wa jeshi la Israel amesema kuwa, wanajeshi wawili wa Israel wamejeruhiwa katika ufyatulianaji risasi uliotokea kusini mwa maeneo hayo yanayokaliwa kimabavu. Wiki chache tu baada ya jeshi la Kizayuni kujiua na kuwaua wawili kati yao kwenye Bonde la Yordani, kwa mara nyengine vyanzo vya habari vya Kiebrania vimeripoti kuwa, vikosi vya utawala…
Iran Yakosa Uwezo wa Kusaidia Wakimbizi wa Afghanistan kutokana na Vikwazo vya Marekani
Faraan – Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa Majid Takht Ravanchi amesema kuwa, Tehran haitoweza kuendelea kuwaunga mkono wakimbizi wa Afghanistan iwapo vikwazo vya kikatili vya Marekani dhidi ya nchi hiyo vitaendelea. Jamhuri ya Kiislamu imekuwa ikitoa usaidizi mbalimbali kwa wakimbizi wa Afghanistan —wakimbizi huingia kwa maelfu katika ardhi ya…
Yemen yaua makumi ya mamluki wa Saudia kupitia kombora zito
Makumi ya mamluki wa muungano vamizi wa kijeshi unaongozwa na Saudi Arabia wameangamizwa baada ya vikosi vya jeshi la Yemen kuwavurumishia kombora la balestiki lililopiga kambi ya mamkuli hao katika mkoa wa Ma’rib, katikati mwa Yemen. Msemaji wa Jeshi la Yemen, Brigedia Jenerali Yahya Saree amesema kombora hilo limelenga mkusanyiko wa mamluki wa serikali iliyojiuzulu…