Makombora ya Ansarullah yaitia kiwewe Marekani, Washington yawatahadharisha Wamarekani waishio Abu Dhabi
Ubalozi wa Marekani katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) umetoa onyo la usalama la hali ya juu kwa Wamarekani wanaoishi huko Imarati kufuatia mashambulizi ya makombora ya jeshi la Yemen na wapiganaji wa Ansarullah huko Abu Dhabi. Kufuatia kushadidi mashambulizi ya muungano vamizi wa Saudia katika maeneo mbalimbali ya Yemen na onyo la maafisa…
Yemeni kushambulia maeneo ya kistratejia ya Saudi Arabia na Imarati
Faraan: Vikosi vya makombora na ndege zisizo na rubani za Yemen asubuhi ya leo (Jumatatu) vimefanya mashambulizi makubwa ndani ya ardhi ya Saudi Arabia na Imarati, yakilenga vituo vya kistratejia na vya kijeshi vya nchi hizo mbili. Ukweli wa kukanusha Saudi Arabia na Imarati kuhusiana na kiasi cha uharibifu na wingi wa mashambulizi umefichuliwa leo…
Utawala wa Kizayuni unataka kuharibu msikiti ulioko Mashariki mwa Jerusalem
Manispaa ya Quds inayoongozwa na serikali ya kiyahudi iliyopo mjini humo ilitoa amri ya kubomolewa kwa msikiti mmoja katika mji wa Al-Issawiyah ulioko mashariki mwa Jerusalem. Kwa mujibu wa Kundi la Kimataifa la Shirika la Habari la Fars, “Ali Darbas”, mkaazi wa mji wa Al-Issawiyah ulioko mashariki mwa Jerusalem inayokaliwa kwa mabavu, alisema kuwa manispaa…
Iran yalaani jinai za wavamizi wa Yemen dhidi ya raia wa kawaida
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali mashambulizi ya anga ya wavamizi wa Yemen katika makazi ya raia na kuua kwao kwa umati wananchi wa kawaida wasio na hatia. Saeed Khatibzadeh amesema kuwa, mashambulio ya anga ya wavamizi wa Yemen ya siku kadhaa mfululizo katika maeneo ya…
Rais wautawala wa Kizayuni wa Israel atarajiwa kuizuru Uturuki
Baadhi ya matukio ya miaka ya hivi karibuni yanaonyesha kuwepo mkakati maalumu wa kuanzishwa tena uhusiano wa karibu baina ya Uturuki na utawala wa kibaguzi wa Israel. Kadhia ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida baina ya utawala wa Kizayuni wa Israel na nchi za Kiarabu katika Ghuba ya Uajemi ni kati ya matukio muhimu ambayo yamejiri…
Mali yataka mkataba wa ushirikiano wake na Ufaransa wa kijeshi na kiulinzi upitiwe upya
Serikali ya Mali inapanga kupitia upya mkataba wa ushirikiano wa kijeshi na kiulinzi kati yake na Ufaransa. Mkataba huo kati ya nchi hizo mbili ulitiwa saini mwaka 2014 na kuanzisha operesheni Barkhane ili kuisaidia Mali kupambana na makundi ya kigaidi. Mnamo mwezi uliopita wa Desemba Paris na Bamako zilikuwa zimekubaliana kuongeza muda wa mkataba huo kwa…
Imarati yaomba msaada wa haraka kutoka kwa Wazayuni baada ya kipigo cha operesheni “Shambuizi la Yemen”
Imarati imeukimbilia utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kuomba msaada wa haraka baada ya operesheni kubwa ya shambulio “Kimbunga cha Yemen” iliyolenga mji wa Abu Dhabi na kusababisha hasara kubwa kwa nchi hiyo ya mali na roho za watu. Baada ya kupata hasara kubwa kutokana na operesheni kubwa ya “Kimbunga cha Yemen”, utawala wa Imarati umeomba…
Utawala ghasibu wa Kizayuni wakithirisha zoezi la ukamataji wa raia wa Palestina
Wazayuni maghasibu wamebomoa nyumba kadhaa za raia wa Palestina na kuwatia mbaroni Wapalestina 27 ikiwa ni katika kuendelea uadui na chuki za utawala huo haramu dhidi ya Wapalestina wakazi wa ardhi zinazokaliwa kwa mabavu. Klabu ya mateka wa Kipalestina imeripoti kuwa, Wazayuni maghasibu leo Jumatano wamewatia mbaroni Wapalestina 26 kutoka familia ya Salhiya baada ya…