jafari

Jihadul-Islami: Muqawama utaendelea kuunga mkono Intifadha ya wakazi wa Ufukwe wa Magharibi

Jihadul-Islami: Muqawama utaendelea kuunga mkono Intifadha ya wakazi wa Ufukwe wa Magharibi

Msemaji wa Harakati ya Jihadul-islami ya Palestina amesema, muqawama unaunga mkono intifadha na mwamko wa wakazi wa Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan dhidi ya wazayuni. Faraan: Tariq Izzuddin ametoa msimamo huo kutokana na kushtadi hatua za kiuadui za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wakazi Wapalestina wa eneo la An-Naqb katika Ufukwe wa…

Sababu za idadi kubwa ya vifo vya wanajeshi wa Israel

Sababu za idadi kubwa ya vifo vya wanajeshi wa Israel

Gazeti la Kiebrania la Israel Hume limeripoti kwamba wanajeshi 31 wa Israeli waliuawa katika mwaka uliomaliza majuzi wa 2021 na kwamba 11 kati yao walijiua wenyewe. Faraan: Kumetajwa sababu kadhaa za vifo vya wanajeshi wa Israel. Sababu kuu ya kuuawa wanajeshi wa Israel inahusiana na siasa za kijeshi za utawala huo ghasibu. Utawala wa Israel…

Yemen yakasirika baada ya UAE kuwaingiza ‘watalii’ wa Israel kisiwani Socotra

Yemen yakasirika baada ya UAE kuwaingiza ‘watalii’ wa Israel kisiwani Socotra

Hasira zimeenea miongoni mwa watu wa Yemen baada ya kuenea picha zinazowaonyesha “watalii” kutoka utawala haramu wa Israeli wakitembelea kisiwa cha kistratijia cha Yemen cha Socotra ambacho kinakaliwa kwa mabavu na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). aarifa zinasema UAE ndiyo iliyowaingiza ‘watalii’ hao Waisraeli katika kisiwa hicho cha Yemen. Picha zimesambazwa zikiwaonyesha Waisraeli hao…

Iran yafanya majaribio ya chombo cha kurusha satelaiti kinachotumia fueli mango

Iran yafanya majaribio ya chombo cha kurusha satelaiti kinachotumia fueli mango

Kamanda wa Kikosi cha Anga cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema Iran imefanyia majaribio yaliyofana injini ya kwanza ya Iran yenye kubeba satalaiti katika anga za mbali ambayo inatumia fueli mango. Akizungumza Alhamisi mjini Qum, Kamanda wa Kikosi cha Anga cha IRGC Jenerali Amir-Ali Hajizadeh amesema: “Katika majaribio hayo yaliyofana, injini…

Tamasha la wanawake wanaodansi “Samba” barabarani Jazan lazusha taharuki Saudia

Tamasha la wanawake wanaodansi “Samba” barabarani Jazan lazusha taharuki Saudia

Kuonyeshwa taswira za wanawake wanaodansi katika bararaba za mji wa Jazan nchini Saudi Arabia kumezusha taharuki na makelele mengi ya upinzani katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii pamoja na hasira na manung’uniko ya wananchi dhidi ya utendaji wa mrithi wa ufalme wa nchi hiyo. Faraan: Vyombo mbalimbali vya habari vimeakisi wimbi la hasira…

Mwanazuoni mkubwa wa Kiislamu Afrika, Sheikh Abdillahi Nassir, aaga dunia

Mwanazuoni mkubwa wa Kiislamu Afrika, Sheikh Abdillahi Nassir, aaga dunia

Sheikh Abdillahi Nassir Juma Bhalo, msomi maarufu wa Kiislamu barani Afrika na hasa Afrika Mashariki ameaga dunia mapema leo Mombasa, Kenya. Umma wa Kiislamu umetumbikia katika majonzi makubwa kufuatia kuaga dunia Sheikh Abdillahi Nassir, ambaye alitumia umri wake wote uliojaa baraka kuhudumia Uislamu na Waislamu hususan wa kanda ya Mashariki na katikati mwa Afrika Sheikh…

Naibu Kamanda wa Jeshi Asuta Vitisho vya Kijeshi vya Israeli

Naibu Kamanda wa Jeshi Asuta Vitisho vya Kijeshi vya Israeli

TEHRAN – Naibu Kamanda wa Jeshi la Iran Brigedia Jenerali Mohammad Hossein Dadras alipuuza vitisho vya kijeshi vya Israeli dhidi ya taifa lake, lakini wakati huo huo alionya juu ya jibu kali la Iran kwa hatua yoyote ya kipumbavu ya Tel Aviv. Utawala wa Kizayuni wa Israel hauwezi kuwa sawa na Iran madarakani, Jenerali Dadras…

Vyombo vya habari vya Saudi Arabia vyafedheheka na kukanganyika katika vita vya Yemen

Vyombo vya habari vya Saudi Arabia vyafedheheka na kukanganyika katika vita vya Yemen

Saudi Arabia, ambayo imeshindwa vita vya Yemen, inaonekana kuchanganyikiwa kutokana na makosa yake katika vyombo vya habari. Mwaka wa saba wa vita vya muungano vamizi wa Saudia dhidi ya Yemen unaelekea kumalizika huku muungano huo ukiendelea kupata vipigo mtawalia kimoja baada ya kingine. Vikosi vya jeshi la Yemen vinazidi kuimarika katika vita vya nchi kavu, anga na…