Ukatili mbaya sana katika historia ya ubinadamu umefanywa Rafah:Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (mkuu wa Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa : Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya Ijumaa – 31 May, 2024 Hotuba ya 1: Falah ni nini, na vipi Taqwa, Tawassul na Jihadi humpeleka mtu kwenye Falah. Hotuba ya 2: Ukatili mbaya sana katika historia ya ubinadamu…
Mexico yapata Rais wa kwanza mwanamke; ni Sheinbaum
Claudia Sheinbaum amechaguliwa kuwa rais wa kwanza mwanamke nchiini Mexico katika ushindi wa kihistoria. Mamlaka rasmi ya uchaguzi ya Mexico imesema kuwa, matokeo ya awali yameonyesha kuwa Sheinbaum meya wa zamani wa Mexico City mwenye umri wa miaka 61 ameshinda kati ya 58% na 60% ya kura katika uchaguzi wa jana Jumapili. Matokeo hayo yanampa…