jafari

Wanajeshi wa Kizayuni waendelea na ubomozi wa nyumba za Wapalestina

Wanajeshi wa Kizayuni waendelea na ubomozi wa nyumba za Wapalestina

Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamebomoa nyumba 11 za raia wa Palestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan. Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Mehr, wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel leo Jumatano wamebomoa nyumba 11 , kituo cha huduma mbali mbali na kisima cha maji ya Wapalestina katika eneo…

Kamanda wa IRGC: Hakuna Maeneo Salama kwa Maadui

Kamanda wa IRGC: Hakuna Maeneo Salama kwa Maadui

TEHRAN – Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Meja Jenerali Hossein Salami amesema kuwa, maadui wa Iran wamedhoofika sana na wameshindwa kiasi kwamba hakuna eneo salama lililobaki kwao. “Sisi ni washindi leo na hivi ndivyo ukweli ulivyo uwanjani,” Jenerali Salami alisema, akihutubia katika hafla huko Tehran Jumapili jioni. “Leo hii, mapanga…

Iran yaikosoa Marekani kwa kuingiza udikteta kwenye michezo

Iran yaikosoa Marekani kwa kuingiza udikteta kwenye michezo

Rais wa Kamati ya Taifa ya Olimpiki ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeikashifu na kuikosoa vikali Marekani kwa hatua yake ya kususia Michezo ya Olimpiki ya Msimu wa Baridi Kali itakayofanyika huko Beijing, China. Reza Salehi Amiri, Rais wa Kamati ya Taifa ya Olimpiki ya Iran katika barua yake kwa mwenzake wa China, Jung Wengu…

Saudi Arabia yaituhumu Hizbullah ya Lebanon

Saudi Arabia yaituhumu Hizbullah ya Lebanon

Madai na tuhuma za Saudi Arabia dhidi ya Hizbullah ya Lebanon zinaendelea kutolewa katika hali ambayo, makundi ya kisiasa ya Lebanon yanajiandaa kwa ajili ya uchaguzi wa Bunge uliopangwa kufanyika mwezi Mei mwaka huu (2022). Hujuma na tuhuma za utawala wa kifamilia wa Aal Saud dhidi ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya…

Umoja wa Mataifa waja na mikakati mipya ya kutatua mgogoro wa Sudan

Umoja wa Mataifa waja na mikakati mipya ya kutatua mgogoro wa Sudan

Televisheni ya Sky News ya lugha ya Kiarabu imetoa ufafanuzi kuhusu mpango mpya wa Umoja wa Mataifa wa kutatua mgogoro wa Sudan. Kwa mujibu wa televisheni hiyo, mpango mpya wa Umoja wa Mataifa wa kutatua mgogoro wa Sudan una vipengee vinne ambapo kipengee muhimu zaidi ni kuvunjwa Baraza la Utawala na nafasi yake kuchukuliwa na…

Sheikh Naim Qassem: Hizbullah itatoa jibu kali kwa Saudi Arabia

Sheikh Naim Qassem: Hizbullah itatoa jibu kali kwa Saudi Arabia

Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amelaani matamshi yaliyotolewa hivi karibuni na mfalme wa Saudi Arabia kuhusu harakati hiyo na kusema kuwa, hatua hiyo inachochea machafuko nchini Lebanon na kwamba Hizbullah itatoa jibu kali kwa uchochezi huo. Sheikh Naim Qassem ambaye alikuwa akizungumza kwa mnasaba wa kukumbuka mwaka wa pili wa kuuawa…

Waingereza wakubali kurejesha ufunguo wa seli ya Mandela Afrika Kusini baada ya kusalimu amri

Waingereza wakubali kurejesha ufunguo wa seli ya Mandela Afrika Kusini baada ya kusalimu amri

Ufunguo wa seli ya gereza ya kisiwa cha Robben alikofungwa Nelson Mandela utarudishwa Afrika Kusini badala ya kupigwa mnada nchini Marekani. Hayo yamesemwa na Waziri wa Utamaduni wa Afrika Kusini, Nathi Mthethwa ambaye alipinga vikali hatua ya Uingereza ya kutaka kuupiga mnada ufunguo huo. Waziri Mthethwa amesema, “ufunguo huo ambao ulipangwa kupigwa mnada New York tarehe 28…

Zaidi ya wasanii 20 wasusia Tamasha la Sydney, huku  wakiupinga ufadhili wa Israel

Zaidi ya wasanii 20 wasusia Tamasha la Sydney, huku wakiupinga ufadhili wa Israel

Zaidi ya wasanii 20 hadi sasa yamejiondoa kwenye Tamasha la Sydney 2022 kupinga mchango wa kifedha uliotolewa na ubalozi wa utawala haramu wa Israel nchini Australia kwa moja ya maonyesho ya tamasha hilo. Ususiaji huo wa wasanii umekuja baada ya Israel kuorodheshwa kama “Star Partner” wa tamasha hilo la kila mwaka kwa kutoa dola 20,000…