Miaka sita tangu kunyongwa Sheikh Nimr, ukandamizaji unaongezeka Saudia
imepita miaka sita sasa tangu utawala wa kifalme wa Saudi Arabia ulipomnyonga manazuoni mashuhuri wa Kiislamu Sheikh Nimr Baqir al-Nimr, ambaye alitoa wito wa kuwepo demokrasia katika nchi hiyo na kuitisha maandamano dhidi ya utawala huo Faraan: Tangazo lililotolewa na utawala wa Saudia mnamo Januari 2, 2016 kwamba umemuua mwanazuoni huyo aliyekuwa na umri wa…
Jeshi la Israel liliua raia 357 Wapalestina mwaka 2021
Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel waliwaua raia Wapalestina wasiopungua 357 mwaka 2021 huku jamii ya kimataifa ikiwa kimya kuhusu jinai hizo dhidi ya raia. Faraan: Hayo ni kwa mujibu wa ripoti ya Jumuiya ya Kitaifa ya Familia za Mshahidi Palestina. Katibu mkuu wa jumuiya hiyo Muhammad Sbeihat amesema ripoti hiyo imetegemea utafiti ambao…
Kongamano la kumuenzi Qassem Soleimani na Abu Mahdi al-Mohandes lafanyika Tunisia
Kundi la vyama vya siasa na asasi za kiraia nchini Tunisia zimefanya kongamano kwa mnasaba wa mwaka wa pili wa kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) na Abu Mahdi al-Muhandis, Naibu Mkuu wa Kikosi cha Kujitolea cha Wananchi wa Iraq cha Hashd al Sha’abi….
Kuondoka kwa Marekani kutoka kwenye eneo, ni moja kati ya matokeo ya kuuawa shahidi Soleimani
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesema kufungasha virago na kuondoka vikosi vya jeshi la Marekani katika eneo la Asia Magharibi ni sehemu ndogo ya matokeo ya kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu. Katika taarifa jana Ijumaa, wizara hiyo imesema…
Iran: Serikali ya Marekani ina “jukumu dhahiri la kimataifa” kwa mauaji ya Kamanda wa Kupambana na Ugaidi Jenerali Soleimani
Katika taarifa hiyo iliyotolewa Ijumaa, wizara ya mambo ya nje ilisema kitendo cha jinai cha Washington kumuua Jenerali Soleimani ni mfano wa shambulio la kigaidi ambalo lilipangwa na kuendeshwa na utawala wa wakati huo wa Marekani na sasa ni jukumu la Ikulu ya Marekani. “Chini ya viwango vya kimataifa na kisheria, serikali ya Marekani ina…
Raisi: Nabii Isa a.s, ni nembo ya muqawama dhidi ya madhalimu
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtaja Nabii Isa Masih (AS) kuwa ni nembo ya mapambano dhidi ya madhalimu. Sayyid Ebrahim Raisi amesema hayo katika ujumbe aliowatumia viongozi wa ulimwengu wa Kikristo, kwa mnasaba wa maadhimisho ya kuwadia mwaka mpya wa Miladia wa 2022. Sambamba na kuwapongeza Wakristo kwa mnasaba wa kuanza mwaka mpya…
Waislamu Marekani watoa wito wa kukomeshwa ujasusi dhidi ya jamii yao
Kundi kubwa la kutetea haki za Waislamu nchini Marekani limetoa wito wa kusitishwa ujasusi unaofanya dhidi ya jamii ya wafuasi wa dini hiyo na kuchukuliwa hatua kali kwa wahusika wa vitendo hiyo. Ni baada ya kufichuliwa habari zaidi za ujasusi unaofanywa dhidi ya taasisi za Kiislamu za Marekani ikiwemo misikiti ambazo zinakabidhiwa kwa makundi yanayopiga…
Mgongano kati ya demokrasia na utambulisho wa Israeli
Israeli iliundwa kwa misingi ya dini ya Kiyahudi. Uyahudi ukiwa na unwani wa taifa na pia vilevile kama dini ulikuwa msingi wa mfumo wa kisiasa wa Israeli, lakini uwepo wa tamaduni na dini zingine kama vile dini ya Kiislamu iliyokua ya Waarabu ulipinga wazo la serikali ya Kiyahudi ya kwamba je, mfumo wa kisiasa wa…