
Zaidi ya Wazayuni milioni mbili na laki 5 wanaishi chini ya mstari wa umaskini
Taasisi za misaada za utawala wa Kizayuni zimetoa ripoti mpya na kusema kuwa, Wazayuni milioni 2 na laki 5 na 40,000 wanaishi chini ya mstari wa umaskini. Faraan: Tovuti ya habari ya al Arabi al Jadid imenukuu ripoti ya taasisi hizo za utawala wa Kizayuni zikisema kwamba asilimia 40 ya kaya na familia za wakazi…

Umoja wa Mataifa wawataka viongozi wa Lebanon kutanguliza mbele matakwa vya wananchi
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amewataka viongozi wa Lebanon kufanya kazi kwa pamoja ili kutatua migogoro iliyopo nchini humo, huku akitoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuisaidia na kuiunga mkono Lebanon kutokana na matatizo yake ya sasa. Faraan: Antonio Guterres ametoa wito huo wakati wa mkutano wa pamoja wa waandishi wa habari uliofanyika katika…

Ghana yawapiga marufuku wasafiri wa utawala wa Kizyauni kutokana na omicron
Serikali ya Ghana imepiga marufuku kuingia nchini humo wasafiri wote wanaotoka katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na ambazo zimepachikwa jina bandia la Israel, kama njia ya kupambana na maambukizo ya kirusi kipya cha corona kiitwacho omicron. Faraan: Mtandao wa habari wa “Ghana Web” umeripoti habari hiyo na kuongeza kuwa, amri hiyo imeanza kutekelezwa…

Maelfu waandamana Sudan kupinga utawala wa kijeshi
Maelfu ya raia wa Sudan Jumapili wameshiriki katika maandamano makubwa katika mji mkuu Khartoum na miji mingine kote nchini humo kupinga mapinduzi ya kijeshi ya Oktoba 25. Faraan: Waandamanaji hao pia wamepinga mkataba wa hivi karibuni uliomrejesha madarakani waziri mkuu wa kiraia Abdalla Hamdok. Maandamano hayo ya Jumapili ni ya kuadhimisha mwaka wa tatu wa…

Jihad Islami: Kukamatwa Mujahidina wa Palestina hakuzuii mapambano dhidi ya Wazayuni
Harakati ya Jihad Iislami ya Palestina imetangaza kuwa kutiwa mbaroni maafisa na Mujahidina wa Palestina hakutazuia makundi ya muqawama kuendelea kukabiliana na uvamizi na vitendo vya kiuadui vya utawala wa Kizayuni wa Israel. Faraan: Harakati ya Jihad ya Islami imesisitiza katika taarifa yake siku ya Jumatatu jana kwamba kuwaandama maafisa na Mujahidina wa Palestina na…

2021; mwaka wa vifo vingi zaidi vya watoto wa Palestina katika kipindi cha miaka 7 iliyopita
Tovuti moja ya habari ya utawala wa Kizayuni wa Israel imeripoti kuwa, baada ya mwaka 2014 yaani wakati vilipotokea vita vya siku 51 na kuuawa shahidi idadi kubwa ya watoto wa Palestina, mwaka huu wa 2021 ndio ulioshuhudia idadi kubwa zaidi ya watoto wa Kipalestina waliouliwa shahidi na Israel. Faraan: Mapigano yanayotokea baina ya Wapalestina…

Barua ya Palestina kwa Baraza la Usalama kuhusu hujuma za walowezi wa Kizayuni
Mamlaka ya Ndani ya Palestina imeliandikia barua Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ikitaka kusitishwa hujuma na mashambulio ya walowezi wa Kizayuni dhidi ya wakazi wa Palestina wa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan. Faraan: Riyadh Mansur, balozi na mwakilishi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa katika barua zake mbili tofauti kwa Baraza la…

Barua ya Palestina kwa Baraza la Usalama kuhusu hujuma za walowezi wa Kizayuni
Mamlaka ya Ndani ya Palestina imeliandikia barua Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ikitaka kusitishwa hujuma na mashambulio ya walowezi wa Kizayuni dhidi ya wakazi wa Palestina wa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan. Faraan: Riyadh Mansur, balozi na mwakilishi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa katika barua zake mbili tofauti kwa Baraza la…