jafari

Askari wa Israel wamewaua watoto 2000 Wapalestina

Askari wa Israel wamewaua watoto 2000 Wapalestina

Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewaua shahidi watoto Wapalestina zaidi ya 2,000 tokea mwaka 2000 Faraan: Hayo yamedokezwa na Khaled Quzmar Mkurugenzi wa Shirika la Kimataifa la Kutetea Watoto Wapalestina na kuongeza kuwa, baada ya vita vya mwaka 2014 ambavyo viliendelea Ghaza kwa muda wa siku 50, idadi kubwa ya watoto Wapalestina wameuawa…

Vikwazo vya Marekani vinaweza kuwa Rahisi, lakini si vya bei nafuu

Vikwazo vya Marekani vinaweza kuwa Rahisi, lakini si vya bei nafuu

Mwaka wa 2021 unapokaribia kuisha, jumuiya ya kimataifa inakabiliwa na majanga kadhaa ya kibinadamu na yale ya usalama yanayoibuka kila uchao, hata zaidi ya janga la kimataifa ambalo limeikumba dunia kwa miaka miwili. Ethiopia inakumbwa na vita tata vya ndani ya nchi baina yao wenyewe kwa wenyewe ambavyo vimesababisha maafa ya kiasi kikubwa ya kibinadamu,…

Makundi ya Palestina yatoa indhari: Gaza inanyemelewa na maafa ya kibinadamu

Makundi ya Palestina yatoa indhari: Gaza inanyemelewa na maafa ya kibinadamu

Harakati za Palestina za HAMAS na Jihadul-Islami zimetahadharisha kuwa eneo la Ukanda wa Gaza linakabiliwa na hali mbaya sana ya kibinadamu kutokana na mzingiro wa kinyama liliowekewa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel. Faraan: Makundi hayo ya muqawama ya Palestina yameeleza katika taarifa baada ya kikao chao cha pamoja kuwa, kuna uzembeaji na ucheleweshaji…

Algeria yawatunuku watu wa Palestina Kombe la Mataifa ya Waarabu

Algeria yawatunuku watu wa Palestina Kombe la Mataifa ya Waarabu

Timu ya Taifa ya kandanda ya Algeria imefanikiwa kushinda mashindano ya kwanza ya Kombe la Mataifa ya Waarabu yaliyofanyika nchini Qatar na kuwatunuku Wapalestina kombe hilo. Faraan: Kocha wa Timu ya Taifa ya Soka la Algeria, Majid Bougherra amesema kuwa timu yake inalitunuku Taifa la Palestina na watu wa Ukanda wa Gaza kombe hilo la…

HAMAS yaionya Israel kuhusiana na hujuma zake dhidi ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan

HAMAS yaionya Israel kuhusiana na hujuma zake dhidi ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan

Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeuonya utawala haramu wa Israel kuhusiana na kushadidisha hujuma na mashambulio yake dhidi ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan. Faraan: Taarifa ya HAMAS imeeleza kuwa, Wazayuni watalipa gharama kubwa endapo wataendelea na huujuma na uvamizi wao katika maeneo ya Wapalestina ya Ukingo wa Magharibi wa Mto…

Shetani kudhihiri katika mfano wake halisi Katika sinema za Hollywood

Shetani kudhihiri katika mfano wake halisi Katika sinema za Hollywood

Katika filamu nyingi zenye mada ya kidini, aina ya wovu wa Ibilisi au mfano halisi wa shetani shetani ni jambo la wazi.

Ethiopia: Baraza la Haki za Binadamu la UN linatumika kisiasa

Ethiopia: Baraza la Haki za Binadamu la UN linatumika kisiasa

Ethiopia imekosoa kufanyika kwa kikao maalumu cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kujadili na kutathmini visa vya ukiukaji wa haki za binadamu nchini humo kufuatia mzozo unaoendelea kati ya serikali na waasi wa Tigray. Faraan: Balozi wa Ethiopia katika Umoja wa Mataifa Zenebe Kebede amelishutumu baraza hilo akisema limetekwa na fikra…

Oparesheni ya Nablos; jibu la Wapalestina kwa jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel

Oparesheni ya Nablos; jibu la Wapalestina kwa jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel

Walowezi wawili wa Kizayuni wamejeruhiwa na mmoja kuangamizwa katika ufyatuaji risasi wa siku ya Alhamisi iliyopita karibu na kitongoji cha walowezi wa Kiyahudi cha Homesh huko Nablos katika ardhi ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan inayokaliwa kwa mabavu. Faraan: Jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina zimezidi kuongezeka tangu ilipoingia madarakani…