
Kuendelea mgogoro wa kisiasa nchini Sudan
Licha ya kupita wiki kadhaa tokea aliporejea madarakani Abdalla Hamdok kama waziri mkuu wa Sudan, na jeshi la nchi hiyo kuafiki aunde serikali isiyo ya kijeshi lakini mgogoro wa kisiasa bado haujamalizika, kwani wananchi wanaendeleza maandamano mitaani. Faraan: Aghalabu ya wananchi wa Sudan wanaendelea kupinga utawala wa kijeshi na wanaamini serikali ya sasa ni matunda…

Filamu ya Montana; moja kwa moja inalenga kutangaza na kukuza ushoga wa kike
Japokuwa, hadithi hiyo inaashiria ukosefu wa maadili na hatari ya uhusiano kati ya mwanamme na msichana mdogo mwenye umri wa miaka tisa, ila katika undani wa filamu hiyo, mwongozaji anaashiria “ushoga wa kike” na kudhihirisha uhusiano wa mwanamume na msichana mdogo zikiwa kama mfano wa matatizo na shida za kijamii. Inaonyesha kua uhusiano wa kimapenzi baina ya wanawake wawili ni jambo la kawaida na kwamba uwepo wake ni kitu cha kawaida yaani kisichokua na shida yeyote.