
Mgogoro wa kibinadamu ambao haujawahi kushuhudiwa nchini Afghanistan
Afisa mmoja wa Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP) amesema kuwa, mgogoro wa kibinadamu nchini Afghanistan ni wa aina yake na haujawahi kushuhudiwa. Faraan: Mary-Ellen McGroarty, Mkurugenzi wa Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP) nchini Afghanistan anasema kuwa, katika kipindi cha miaka 20 ya shughuli zake na…