jafari

Kuwait yapiga marufuku meli za Israel kutia nanga nchini humo

Kuwait yapiga marufuku meli za Israel kutia nanga nchini humo

Serikali ya Kuwait imezipiga marufuku meli za kibiashara zinazobeba bidhaa za utawala wa Kizayuni wa Israel kutia nanga katika bandari za nchi hiyo au kubeba bidhaa kutoka Kuwait kuelekea Israel. Faraan: Waziri wa Maslahi ya Umma wa Kuwait alitoa amri hiyo jana ambayo imapiga marufuku meli zinazosafirisha bidhaa za utawala haramu wa Israel kubeba au…

Kuendelea mgogoro wa kisiasa Tunisia

Kuendelea mgogoro wa kisiasa Tunisia

Licha ya mgogoro wa kisiasa wa Tunisia kuendela kwa miezi kadhaa sambamba na kufanyika juhudi za kujaribu kuumaliza, lakini juhudi hizo zimeshindwa kuzaa matunda. Katika uwanja huo, Rais Kais Saied wa Tunisia ameeleza kusikitishwa kwake na vyombo vya mahakama katika kuchelewesha uchunguzi wa ripoti zinazohusiana na ukiukaji uliofanyika katika mwenendo wa uchaguzi mkuu uliopita na…

Watu zaidi ya 30 wauawa katika shambulio la kigaidi katikati ya Mali

Watu zaidi ya 30 wauawa katika shambulio la kigaidi katikati ya Mali

Watu wasiopungua 31 wameuawa katikati ya Mali huko magharibi mwa Afrika baada ya wanamgambo waliokuwa na silaha kushambulia basi iliyokuwa imebebe raia wa kawaida wakielekea sokoni. Watu wenye silaha wasiofahamika walianza kufyatua risasi na kisha kumuuwa dereva kabla ya kulichoma moto basi hilo. Faraan: Shirika la habari la EFE limeripoti kuwa, akthari ya waliouliwa ni…

Al Burhan: Jeshi la Sudan litaacha siasa baada ya uchaguzi wa 2023

Al Burhan: Jeshi la Sudan litaacha siasa baada ya uchaguzi wa 2023

Mkuu wa jeshi la Sudan, Abdel Fattah Al-Burhan, amesema kwamba jeshi litaondoka kwenye uwanja wa siasa baada ya uchaguzi uliopangwa kufanyika 2023, na kuongeza kuwa kuna “ishara nzuri” zinazohusiana na uungaji mkono mpya wa jamii ya kimataifa kwa Khartoum. Faraan: Jenerali Abdel Fattah al Burhan amesema katika mahojiano yake na shirika la habari la Reuters…

Algeria: Morocco imetengwa kutokana na kuanzisha muungano wa kijeshi na Israel

Algeria: Morocco imetengwa kutokana na kuanzisha muungano wa kijeshi na Israel

Watu wasiopungua 31 wameuawa katikati ya Mali huko magharibi mwa Afrika baada ya wanamgambo waliokuwa na silaha kushambulia basi iliyokuwa imebebe raia wa kawaida wakielekea sokoni. Watu wenye silaha wasiofahamika walianza kufyatua risasi na kisha kumuuwa dereva kabla ya kulichoma moto basi hilo. Faraan: Shirika la habari la EFE limeripoti kuwa, akthari ya waliouliwa ni…

Wapalestina wasiopungua 45,000 wahudhuria Swala ya Ijumaa Al Aqsa

Wapalestina wasiopungua 45,000 wahudhuria Swala ya Ijumaa Al Aqsa

Maelfu ya Wapalestina wameshiriki katika Swala ya Ijumaa katika Msikiti wa Al Aqsa mjini Quds (Jerusalem) pamoja na kuwepo vizuizi vilivyokuwa vimewekwa na askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel unaokalia ardhi hiyo ya Palestina kwa mabavu. Faraan: Kwa mujibu wa Kituo cha Habari cha Palestina, zaidi ya Wapalestina 45,000 wameshiriki katika Swala ya Ijumaa…

Mufti: Kuna njama zinazoungwa mkono na Wamagharibi za kuiangusha serikali ya Ethiopia

Mufti: Kuna njama zinazoungwa mkono na Wamagharibi za kuiangusha serikali ya Ethiopia

Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Ethiopia amesema kuwa, kuna njama ya siri inayopikwa ambayo lengo lake ni kuiangusha serikali halali ya nchi hiyo inayoongozwa na Waziri Mkuu Abiy Ahmed. Faraan: Akijibu swali kuhusiana na mkanda wa video ulioenea unaoonyesha baadhi ya wanadiplomasia wa Kimagharibi wakiwa katika mazungumzo na viiongozi wa Harakati ya…

“Iran ni nguzo ya ulimwengu wa Kiislamu, kambi ya muqawama”

“Iran ni nguzo ya ulimwengu wa Kiislamu, kambi ya muqawama”

Mkuu wa Utamaduni wa Harakati ya Kujitolea ya Wananchi wa Iraq maarufu kama Hashd al Sha’abi amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndio nguzo ya ulimwengu wa Kiislamu na mrengo wa muqawama na mapambano ya Kiislamu. Faraan: Sayyid Hashem al-Heydari alisema hayo jana Alkhamisi katika mji wa Kerman, kusini mashariki mwa Iran na kuongeza kuwa,…