
Kushtadi mgogoro wa Ethiopia; indhari ya hatari ya kugawanywa nchi na kudhibitiwa mji mkuu
Mgogoro wa Ethiopia umechukua wigo mpana zaidi kiasi kwamba, akthari ya weledi wa mambo wa mambo wanatahadharisha juu ya uwezekano wa kutekwa na kuangukia mikononi mwa waasi mji mkuu Addis Ababa na kuenea vita vya ndani katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika. Machafuko na mapigano yalianzia katika jimbo la Tigray la kaskazini mwa Ethiopia….