jafari

Askari wasiopungua sita wa Sudan wauawa katika mapigano ya mpakani na Ethiopia

Askari wasiopungua sita wa Sudan wauawa katika mapigano ya mpakani na Ethiopia

Jeshi la Sudan limesema, askari wake kadhaa wameuawa katika shambulio lililofanywa na vikosi vya jeshi la Ethiopia katika eneo la mpakani linalozozaniwa na nchi mbili. Faraan: Taarifa iliyotolewa na jeshi la Sudan imeeleza kwamba, askari wake waliokuwa wakisimamia zoezi la uvunaji mazao katika eneo la Al-Shafaqa walishambuliwa na makundi ya askari wa jeshi la Ethiopia…

Fikra ya kuangamizwa kwa Israeli; Demokrasia dhidi ya Demokrasia

Fikra ya kuangamizwa kwa Israeli; Demokrasia dhidi ya Demokrasia

Siasa rasmi iliyotangazwa ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kwamba serikali hii ipo dhidi ya utawala wa Kizayuni, hivyo inasisitiza kwa uwazi kabisa kuangamizwa kwa Israeli.Hivi sasa Swali linakuja kwamba, ni nini maana ya fikra ya Jamhuri ya Kiislamu kuhusiana na kuangamizwa kwa Israeli?

Watu watano waaga dunia katika mlipuko wa bomu karibu na shule huko Mogadishu

Watu watano waaga dunia katika mlipuko wa bomu karibu na shule huko Mogadishu

Watu watano wameuawa na wengine zaidi ya 12 wamejeruhiwa hii leo katika mlipuko wa bomu lililokuwa limetegwa ndani ya gari karibu na shule moja katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu. Faraan: Mohamed Abdillahi afisa usalama mjini Mogadishu ameeleza kuwa, hadi sasa wamethibitisha kuaga dunia watu 5 na 15 kujeruhiwa katika mlipuko huo wa bomu. Ameongeza…

Bila ya usaidizi wa Marekani, Israeli haiwezi ikajimudu na kudumu kwa muda mrefu

Bila ya usaidizi wa Marekani, Israeli haiwezi ikajimudu na kudumu kwa muda mrefu

Hakuna sababu ya kimantiki kwa Marekani kuiunga mkono Israeli. Kutotambulika kwa nchi ya Israeli katika eneo la Mashariki ya Kati inatosha kua ni sababu kwa serikali ya Marekani kupata ufahamu na kutafakari upya uhusiano wake na utawala wa Israeli. Faraan: “Kwa Hakika utawala wa Israeli hauwezi kudumu kwa muda bila kuungwa mkono na Marekani,” alisema…

Kuendelea ubaguzi wa rangi Marekani

Kuendelea ubaguzi wa rangi Marekani

Uamuzi wa mahakama ya Marekani wa kufutilia mbali mashtaka ya mauaji yaliyokuwa yanamkabili kijana mmoja mweupe aliyehusika na mauaji ya watu wawili katika maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi nchini humo mwaka uliopita, kwa mara nyingine umeamsha hasira ya wengi katika nchi hiyo ya Magharibi. Faraan: Mahakama ilimuondolea kijana huyo kwa jina Kyle Rittenhouse, makosa…

Umaskini na kuzorota kwa maisha ya Waarabu katika jamii ya Kizayuni

Umaskini na kuzorota kwa maisha ya Waarabu katika jamii ya Kizayuni

Jamii ya Israeli inakabiliwa na changamoto nyingi kama vile ubaguzi wa kijamii na kiuchumi uliokithiri na ukosefu wa usawa, kinyume na mtazamo unaodhihiri kutokana na athari ya propaganda za vyombo vya habari. Waarabu ambao kwamba wanaishi katika ardhi zao wenyewe lakini kutokana na kwamba ardhi hizo zipo chini ya utawala wa Israel nao pia vilevile…

Mapigano makali yaendelea kushuhudiwa baina ya jeshi la Ethiopia na TPLF

Mapigano makali yaendelea kushuhudiwa baina ya jeshi la Ethiopia na TPLF

Mapigano makali yanaendelea kuripotiwa baina ya jeshi la Ethiopia na wapiganaji wa Harakati ya Ukombozi ya Watu wa Tigray (TPLF) katika maeneo ya magharibi katika mpaka na jimbo la Tigray la kaskazini mwa Ethiopia. Faraan: Ripoti zinasema kuwa, mapigano hayo yameshadidi zaidi jana na juzi huku juhudi za kuupatia ufumbuzi mgogoro huo za kieneo na…

Ubalozi wa Palestina Tehran walaani uhasama wa Uingereza dhidi ya Hamas

Ubalozi wa Palestina Tehran walaani uhasama wa Uingereza dhidi ya Hamas

Ubalozi wa Palestina mjini Tehran umetoa taarifa na kulaani vikali hatua ya Uingereza ya kuiweka Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) katika orodha ya makundi ya ‘kigaidi’.