
Walowezi wa Kizayuni wawashambulia Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi
Makumi ya walowezi wa Kizayuni wamefanya hujuma na mashambulio dhidi ya nyumba za Wapalestina kusini mwa mji wa Nablos ulioko kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

Mwanahabari mtajika wa redio ya Somalia auawa katika shambulio la kigaidi
Kundi la kigaidi la al Shabaab lenye mfungamano na mtandao wa al Qaida limehusika katika mlipuko wa bomu uliosababisha kifo cha mwandishi habari mtajika wa redio ya serikali ya Somalia huko Mogadishu. Shambulio hilo limejiri jana katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu baada ya gari lililokuwa limetegwa bomu kuilenga gari ya waandishi habari wa redio…

Wanne wajeruhiwa Burkina Faso katika kupinga msafara wa kijeshi wa Ufaransa
Maandamano ya kupinga msafara huo yalianza siku ya Alkhamisi na yangali yanaendelea. Niger ambayo ipo magharibi mwa Afrika licha ya kuwa na utahiri mkubwa wa maliasili ya mafuta na madinini ya urani lakini ni moja ya nchi masikini zaidi duniani. Tukumbuke kuwa Mali na nchi hiyo jirani ya Niger ni maficho makuu ya shughuli za…

Niger kununua silaha na zana za kijeshi kutoka Uturuki
Niger na Uturuki zimetangaza kufikia makubaliano ambayo yanajumuisha kuiuzia Niger silaha mbalimbali zikiwemo ndege zisizo na rubani (droni) na magari ya kivita ili kuongeza uwezo wake wa kijeshi katika kukabiliana na makundi ya kigaidi. Taarifa ya pamoja iliyotolewa na televisheni ya Uturuki ya TRT na Ofisi ya Rais wa Niger imeeleza kuwa: “Rais Recep Tayyip…

Haniya: Iran ni nguzo muhimu ya kambi ya muqawama
Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kuitaja kama nguzo kuu na muhimu ya mrengo wa muqawama wa Wapalestina. Faraan: Ismail Haniya amesema hayo katika mahojiano yaliyorushwa hewani jana usiku na televisheni ya al-Aqsa inayotangaza kwa lugha ya Kiarabu na kuongeza…

Watoto wa Kipalestina 77 wauawa shahidi tangu kuanza mwaka huu wa 2021
Taasisi moja ya Haki za Binadamu imeripoti kuwa utawala ghasibu wa Israel umewauwa watoto wa Kipalestina 77 tangu kuanza mwaka huu wa 2021 hadi sasa. Faraan: Taasisi hiyo imesema kuwa, ukaliaji mabavu wa Israel umesababisha kuuliwa watoto wa Kipalestina 77 mwaka huu huku wengine kati ya 500 na 700 wakihukumiwa kijeshi kila mwaka. Hayo yameelezwa…

Sheikh Naim Qassim: Njama na mipango michafu ya Israel dhidi ya Lebanon imegonga ukuta
Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, njama na mipango michafu ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Lebanon imeshindwa na kugonga mwamba. Faraan: Samahat Sheikh Naim Qassim ameeleza kuwa, Hizbullah katu haitaruhusu uingiliaji wa kigeni katika masuala ya Lebanon. Kadhalika Naibu Katibu Mkuu wa…

Khalid Mash’al: Kufanya mapatano na utawala wa Kizayuni ni kulisaliti taifa la Palestina
Kiongozi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS nje ya nchi amesema mapatano na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ni kosa kubwa na usaliti kwa taifa la Palestina. Faraan: Khalid Mash’al ameeleza kuwa, nyenzo na suhula zote, kuanzia muqawama na upinzani wa umma pamoja na kuendesha mapambano kwa mtutu wa bunduki, ni…