
Ushawishi wa Uzayuni kwenye vyombo vya habari
Joseph Pulitzer ni mmoja wa waanzilishi mashuhuri wa Kiyahudi wa vyombo vya habari vya kisasa vya Amerika. Alizaliwa katika familia ya Kiyahudi huko nchini Hungaria, na baada ya kuhamia Marekani mnamo mwaka wa 1878 alichapisha jarida kwa jina la St. Louis Post Dispatch na mnamo mwaka wa 1883 alinunua gazeti maarufu la Marekani la wakati…

Madai ya Marekani ya kuwa na wasiwasi kuhusu mashambulio ya kundi la kigaidi la Daesh nchini Afghanistan
Thomas West, mjumbe maalumu wa Marekani katika masuala Afghanistan amedai kuwa, Washington ina wasiwasi na suala la kuongezeka hujuma na mashambulio ya makundi yenye mfungamano na kundi la Daesh na uwepo wenye kuendelea wa mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda. Faraan: Viongozi wa Marekani wanaamini kuwa, kundi la Daesh linaweza kupata uwezo wa kutekeleza mashambulio nje…