
Mwaka wa 104 tangu kutangazwa Azimio la Balfour na sisitizo la Wapalestina la kuendeleza mapambano
Huku yakitangaza taathira na madhara ya Azimio la Balfour ambalo lilliunga mkono rasmi kuanzishwa utawala ghasibu wa Israel katika ardhi za Palestina, makundi ya mapambano ya Palestina yamesisitiza juu ya kuendeleza mapambano dhidi ya utawala huo. Faraan: Tarehe 2 Novemba 1917 Arthur James Balfour ambaye wakati huo alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza…