jafari

Maafisa wa kijasusi wa Israel wakutana na waliopindua serikali Sudan

Maafisa wa kijasusi wa Israel wakutana na waliopindua serikali Sudan

Ujumbe wa utawala wa Kizayuni wa Israel unaripotiwa kuitembelea Sudan kwa siri na kificho, muda mfupi baada ya kujiri mapinduzi ya kijeshi yaliyofanyika Oktoba 25 mwaka huu katika nchi hiyo ya Kiarabu. Faraan: Duru za habari zinaarifu kuwa, ujumbe wa Wazayuni ulioenda Sudan baada ya kujiri mapinduzi hayo ulijumuisha maafisa wa Shirika la Kijasusi la…

Hamas, Jihad Islami zaionya Israel kuhusu mateka Wapalestina

Hamas, Jihad Islami zaionya Israel kuhusu mateka Wapalestina

Harakati za kupigania ukombozi wa Wapalestina za Hamas na Jihad Islami zimetoa tahadhari kwa utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu kuwatesa mateka Wapalestina wanaoshikiliwa na utawala huo dhalimu.Hamas na Jihad Islami zimeuonya vikali utawala wa Kizayuni kuwa iwapo hautasitisha ukandamizaji wa mateka Wapalestina katika jela za kuogofya za utawala huo, hasa iwapo mateka watakufa shahidi,…

Ethiopia yaonya: Uhusiano wetu na Marekani unaweza kuharibika

Ethiopia yaonya: Uhusiano wetu na Marekani unaweza kuharibika

Ethiopia imeishutumu Marekani kwa kusambaza taarifa za uongo kuhusu hali ya usalama, wakati huu inapoendelea na mapambano dhidi ya waasi. Faraan: Msemaji wa serikali ya Addis Ababa, Kebede Desisa ameonya kuwa iwapo Marekani itaendelea na usambazaji wa taarifa hizo, uhusiano kati ya nchi hizo mbili huenda ukaharibika. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Desisa…