jafari

Algeria: UNRWA inapaswa kufanya kazi hadi kuundwa kwa taifa la Palestina

Algeria: UNRWA inapaswa kufanya kazi hadi kuundwa kwa taifa la Palestina

Wizara ya Mambo ya Nje ya Algeria ilisema  kwamba kupigwa marufuku shughuli za UNRWA katika ardhi za Palestina inayokaliwa kwa mabavu kuna madhara makubwa na mabaya sana kwa mamilioni ya wakazi wake. Wizara hiyo imesema katika taarifa yake: “Tunalaani vikali kuidhinishwa kwa sheria mbili za utawala wa Kizayuni kwa lengo la kudhoofisha shughuli za UNRWA…

Masaibu ya Naibu Rais aliyetimuliwa Kenya, Rigathi Gachagua yazidi, UDA nayo kumtimua

Masaibu ya Naibu Rais aliyetimuliwa Kenya, Rigathi Gachagua yazidi, UDA nayo kumtimua

Chama tawala nchini Kenya cha United Democratic Alliance (UDA) kimetangaza kwamba, hivi karibuni kitamteua Naibu Rais mteule, Kithure Kindiki kama naibu kiongozi wa chama hicho mara tu kesi zinazoendelea mahakamani za kupinga kuondolewa madarakani Rigathi Gachagua, zitakapomilika. Katibu Mkuu wa UDA, Hassan Omar jana alisema chama hicho hakitakubali Bw Gachagua kuendelea kuwa naibu kiongozi wa…

Ujumbe wa kutambulishwa kwa Katibu Mkuu mpya wa Hizbullah nchini Lebanon

Ujumbe wa kutambulishwa kwa Katibu Mkuu mpya wa Hizbullah nchini Lebanon

Mkakati wa kumtangaza Katibu Mkuu mpya wa Hizbullah ilikuwa hatua kubwa ya Hezbullah katika kuvuruga mpango uliobuniwa na utawala wa Kizayuni katika wiki za hivi karibuni. Baadhi ya vyanzo vya usalama viliamini kuwa jina la Katibu Mkuu mpya wa Hezbollah linapaswa kuwekwa siri kwa ajili kuhifadhi usalama wake. Hatahivyo Hizbullah haikufanya hivo (kuweka siri jina…

Tangazo la Mkuu wa Jeshi kuhusu uvamizi wa utawala wa Kizayuni

Tangazo la Mkuu wa Jeshi kuhusu uvamizi wa utawala wa Kizayuni

Kituo cha Mawasiliano cha Wanajeshi kilitoa taarifa kuhusu uvamizi wa adui Mzayuni kwa Iran. Nakala ya tangazo hilo ni kama ifuatavyo: 🔹 Tunawafahamisha watu watukufu wa Iran ya Kiislamu kwamba katika uvamizi wa wazi na haramu wa kimataifa mapema asubuhi ya leo Jumamosi, Oktoba 27, ndege za Kizayuni, zikitumia nafasi iliyotolewa na jeshi la kigaidi…

Algeria yafutilia mbali Leseni ya Al-Arabiya

Algeria yafutilia mbali Leseni ya Al-Arabiya

Vyombo vya habari vya Algeria viliripoti kuwa Algeria imefuta leseni ya kituo cha habari cha Saudi Arabia kufanya kazi nchini humo. Kwa mujibu wa ripoti ya IRNA, vyombo vya habari vya Algeria vimesisitiza kuwa, Al-Arabiya imetumia juhudi zake zote katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita kutangaza upya habari za vita vya Gaza na Lebanon kwa…

Rais Paul Biya arejea Cameroon, baada ya kutoweka kwa takribani wiki 6 na kusababisha wasiwasi wa kiafya

Rais Paul Biya arejea Cameroon, baada ya kutoweka kwa takribani wiki 6 na kusababisha wasiwasi wa kiafya

Baada ya kukosekana kwa muda wa wiki 6 na kusababisha wasiwasi juu ya afya yake na mahali alipo, Rais Paul Biya wa Cameroon hatrimaye amerejea nchini. Rais huyo mwenye umri wa miaka 91 amewasili nchini kutokea Geneva, Uswisi, akiwa ameandamana  na mkewe, Chantal Biya, na wala hakuzungumza na wananchi. Pamoja na hayo aliwapungia mkono wafuasi wake…

Reuters: BRICS kujadili mpango mpya wa kimataifa wa mabadilishano ya fedha

Reuters: BRICS kujadili mpango mpya wa kimataifa wa mabadilishano ya fedha

Russia itawasilisha pendekezo lake la mfumo mpya wa fedha wa kimataifa kwa mataifa mengine wanachama wa jumuiya ya kiuchumi ya BRICS katika mkutano wa kilele wa kundi hilo utakaofanyika wiki ijayo nchini humo. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti ya shirika la habari la Reuters likinukuu waraka uliosambazwa na Moscow kwa waandishi wa habari kabla…

Sisitizo la Joe Biden la kudumisha uwepo wa kijeshi wa Marekani Asia Magharibi

Sisitizo la Joe Biden la kudumisha uwepo wa kijeshi wa Marekani Asia Magharibi

White House ilitangaza siku ya Jumanne kwamba, Rais Joe Biden wa Marekani ameiandikia barua Congress ya nchi hiyo akiifahamisha kwamba vikosi vya Marekani vitaendelea kubakia katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) kwa kuhofia jibu la Iran kwa chokochoko za utawala wa Kizayuni. Akizungumzia jibu la makombora la Tehran kwa mashambulizi ya Israel, Rais…