jafari

Sera zinazokinzana za Macron kuhusiana na mashambulizi wa Wazayuni nchini Lebanon

Sera zinazokinzana za Macron kuhusiana na mashambulizi wa Wazayuni nchini Lebanon

Wito wa Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, wa kusitishwa msaada wa silaha kwa utawala bandia na ghasibu wa Israel umefuatiwa na jibu kali la Waziri Mkuu wa utawala huo, Benjamin Netanyahu. Akizungumza na kituo cha redio ya Ufaransa, Macron amesema: “Kipaumbele cha sasa ni kurejea kwenye suluhisho la kisiasa na kuacha kutuma silaha ambazo zinatumika katika vita…

Ethiopian Airlines yasimamisha safari zote za ndege za kuelekea Israel

Ethiopian Airlines yasimamisha safari zote za ndege za kuelekea Israel

Shirika la Ndege la Ethiopia limetangaza kusitisha safari zote za ndege za kuelekea Tel Aviv, mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, hadi itakapotangazwa tena kutokana na hali ilivyo sasa katika eneo la Asia Magharibi. Katika taarifa yake rasmi, Ethiopian Airlines imetangaza pia kusimamisha safari zake kuelekea Beirut, mji mkuu wa Lebanon. Kwa mujibu…

CNN: Utumiaji wa Iran wa zana za mafuta ishara mbaya kwa Marekani

CNN: Utumiaji wa Iran wa zana za mafuta ishara mbaya kwa Marekani

CNN iliandika katika ripoti yake kwamba Iran ina hiyari ya kufanya uamuzi unaoweza kusababisha kupanda kwa bei ya mafuta kwa viwango vya juu zaidi ikilinganishwa na rekodi za awali, na ongezeko hili litakuwa na madhara makubwa kwa Marekani na uchumi wa dunia nzima. Kufuatia wasiwasi wa kusita kwa usambazaji wa mafuta ya Iran, bei ya…

Ujumbe wa Sheikh Ibrahim Zakzaky wa kumfariji kiongozi wa mapinduzi kwa mnasaba wa kifo cha kishahidi cha Seyyed Hassan Nasrallah.

Ujumbe wa Sheikh Ibrahim Zakzaky wa kumfariji kiongozi wa mapinduzi kwa mnasaba wa kifo cha kishahidi cha Seyyed Hassan Nasrallah.

Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria alitoa pole kuuawa shahidi Seyyed Hassan Nasrallah, Katibu Mkuu wa Hizbullah nchini Lebanon. Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema katika mazungumzo yake na wanahabari: Natoa salamu za rambirambi kwa Imam Zaman (A.S.) na Ayatullah Seyed Ali Khamenei, kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu…

Vyombo vya habari vya michezo duniani vyalalamikia kimya cha FIFA mbele ya jinai za Israel

Vyombo vya habari vya michezo duniani vyalalamikia kimya cha FIFA mbele ya jinai za Israel

Aghalabu ya vyombo vya habari mashuhuri vya michezo duniani vimekosoa kimya, mchezo wa kisiasa na unafiki wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) mkabala wa jinai na mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel. Shirika la habari la Fars limearifu kuwa, vyombo vya habari vya michezo vya Uingereza, Ufaransa na Ujerumani vimeeleza kuwa vyombo vya habari vyenye itibari…

Uhuru afanya mkutano wa kawaida na mjumbe wa Umoja wa Mataifa

Uhuru afanya mkutano wa kawaida na mjumbe wa Umoja wa Mataifa

Uhuru afanya juhudi za kuwezesha mchakato wa Nairobi unaoongozwa na EAC kuhusu kurejesha amani na utulivu Mashariki mwa DRC. Mkutano huo wa mtandaoni ulikuwa wa maandalizi kwa ajili ya mkutano ujao wa Mjumbe Maalum wa Umoja wa Mataifa kwa eneo la Maziwa Makuu Huang Xia kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu eneo…

Tamko la IRGC baada ya shambulizi la kombora dhidi ya Israel

Tamko la IRGC baada ya shambulizi la kombora dhidi ya Israel

Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) lilitoa taarifa baada ya shambulio la kombora dhidi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu. Kulipiza kisasi kwa Irani dhidi ya Israel kulikotarajiwa kumeanza huku makombora ya balistiki yakirushwa katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (utawala wa Israel) siku ya Jumanne jioni. Katika kukabiliana na kifo cha kishahidi…

Kwa kauli mbiu ya “Labaika Ya Nasrallah”.. nchi ya Lebanon ilirusha Makombora 10 ya balistiki katika mji wa Tel Aviv

Kwa kauli mbiu ya “Labaika Ya Nasrallah”.. nchi ya Lebanon ilirusha Makombora 10 ya balistiki katika mji wa Tel Aviv

Vyombo vya habari vya utawala huo ghasibu vilikiri kwamba makombora 10 ya balistiki yalipiga Tel Aviv. Hapo awali, jeshi la Israel lilitangaza kwamba Waisraeli mmoja na nusu kwa sasa wako kwenye makazi kutokana na mashambulizi ya roketi ya Hezbollah. Vyombo vya habari vya utawala huo ghasibu vilitangaza kuwa Barabara nambari 6 mashariki mwa Tel Aviv…