TZ yaitoa hofu UNHCR: Hatutafunga kambi wala kuwalazimisha wakimbizi warudi makwao
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR limesema limepewa hakikisho na Serikali ya Tanzania kwamba kambi ya wakimbizi ya Nduta inayowapa hifadhi wakimbizi wa Burundi haitafungwa na wala wakimbizi hao hawatalazimishwa kurudi makwao. Hakikisho hilo limetolewa na maafisa wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Tanzania baada ya taarifa za habari zilizokuwa zimesambazwa…
Rais wa Tanzania atia saini kitabu chenye ujumbe wa kuomboleza kifo cha kishahidi cha Ayatollah Raisi
Bi Samia Saluho Hassan, Rais wa Tanzania, alihudhuria Ubalozi wa Iran jijini Dar es Salaam siku ya Ijumaa; Alitia saini kitabu cha kumbukumbu ya kifo cha kishahidi cha Ayatullah Seyed Ebrahim Raisi, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kutoa salamu za rambirambi kwa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu; Serikali na watu wa…
Waislamu wa Tanzania wamuomboleza Sayyid Ebrahim Raisi
Waislamu nchini Tanzania wameshiriki katika hafla ya kuwakumbuka na kuwaenzi viongozii wa Iran walioaga dunia hivi karibuni akiwemo Rais Ebrahim Raisi. Waislamu wa Tanzania wamefanya kumbukumbu ya maombolezo ya kumuenzi Rais wa Iran aliyeaga dunia Ebrahim Rais pamoja na maafisa wengine aliokuwa ameambatana nao akiwemo waziri wake wa mashauri ya kigeni Hussein Amir-Abdollahian. Maombolezo hayo…
Biden anaiongeza Kenya katika orodha ya Washington ya washirika wakuu wasio wa NATO
Katika mkutano wa pamoja wa wanahabari na Rais wa Kenya William Ruto katika Ikulu ya Marekani siku ya Alhamisi, Rais wa Marekani Joe Biden aliahidi kuongeza nchi hiyo katika orodha ya washirika wakuu wa Marekani wasio wa NATO. Kwa mujibu wa ripoti ya IRNA Ijumaa asubuhi, iliyonukuliwa na Al Jazeera, Biden alisema katika mkutano huu…
Rais wa Tanzania: Zipokeeni salamu zetu za rambirambi
Rais wa Tanzania, Samia Saluhu Hassan, katika salamu zake za rambirambi aliandika hivi: Kwa niaba ya serikali na wananchi wa Tanzania natuma salamu za rambirambi kwa serikali na wananchi wa Iran kutokana na kifo chenye kusikitisha cha Mheshimiwa Dkt. Ebrahim Raisi. Kwa mujibu wa ripoti ya IRNA ya Ijumaa, ikinukuu mashauriano ya kiutamaduni ya Jamhuri…
Salamu za rambirambi kutoka kwa Rais wa Tanzania
Kwa niaba ya serikali na wananchi wa Tanzania, natoa pole kwa taifa na serikali ya Iran kutokana na kifo cha Rais wa Iran Bw. Ebrahim Raisi pamoja na viongozi wenzake.
Kenya: Tuko pamoja na watu wa Iran
Kufuatia salamu za rambirambi za viongozi na maafisa wakuu duniani, kufuatia kuuawa shahidi Ayatollah Raisi na viongozi wenzake, Rais wa Kenya alitangaza mshikamano wake na taifa la Iran katika usiku wa kuamkia Jumatatu. Katika muendelezo wa risala za rambirambi za viongozi na shakhsia wa dunia kufuatia kifo cha rais na waziri wa mambo ya nje…
Jaribio la mapinduzi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo lilitangaza jaribio la watu wenye silaha kufanya mapinduzi katika nchi hii. Vyanzo vya ndani vya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo vimeripoti ufyatuaji risasi mjini Kinshasa, mji mkuu wa nchi hii, saa sita mchana leo (Jumapili). Dakika chache baada ya kuchapishwa kwa ripoti hii, msemaji wa serikali ya Kongo…