Mataifa ya Afrika Mashariki yaazimia kukamilisha ujenzi wa reli ya SGR
Kenya, Uganda, Rwanda, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Sudan Kusini zimeazimia kuweka nguvu ya pamoja ili kufanikisha ujenzi wa reli ya mwendo kasi (SGR) inayopita Afrika Mashariki. Mawaziri wa usafiri na uchukuzi kutoka mataifa hayo wamekubaliana kwa pamoja kutafuta wafadhili na wajenzi wa reli hiyo, kurekebisha mkataba wa maelewano na kuhusisha mataifa ya Jamhuri…
DRC na Uganda kufufua ushirikiano wao wa kijeshi
Serikali za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Uganda zimetangaza kufufua ushirikiano wao wa kijeshi. Hiyo ni kufuatia mkutano wa viongozi wakuu wa majeshi ya nchi hizo mbili uliofanyika katika mji wa Kasindi kwenye mpaka kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Uganda. Akizungumuza na makamanda wa jeshi la Congo FARDC, mkuu wa jeshi…
Kenya yatangaza mapumziko nchi nzima Ijumaa ili kuwaomboleza wahanga wa mafuriko
Rais William Ruto wa Kenya ametangaza kesho Ijumaa kuwa ni siku ya mapumziko ili kuwaomboleza watu 238 waliopoteza maisha kutokana na mafuriko yaliyoiathiri nchi hiyo. Rais Ruto jana alitangaza kuwa kesho Ijumaa itakuwa siku ya kupanda miti ili kusaidia kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi. Kenya pamoja na maeneo mengine ya Afrika Mashariki yameathiriwa pakubwa na…
Kuanzishwa kwa jopo la ufundishaji wa lugha ya Kiajemi katika vyuo vikuu vya Zimbabwe
Wizara ya Elimu, Utafiti na Teknolojia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, katika kikao na Waziri wa Sayansi na Teknolojia wa Zimbabwe, ametangaza utayarifu wa Iran kufungua mwenyekiti wa lugha ya Kifarsi, kulipa ada na kutuma profesa katika vyuo vikuu vya nchi hiyo. na pendekezo hili lilikaribishwa na mamlaka ya Zimbabwe. Kwa mujibu wa Kikundi…
‘Waathirika Kimbunga Hidaya kupewa huduma za dharura’
DODOMA: RAIS Samia Suluhu Hassan ameagiza huduma za dharura zipelekwe kwenye maeneo yaliyopata athari kutokana na kimbunga Hidaya. Hayo yamesemwa leo Mei 06, 2024 na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye kikao cha dharura cha Kamati ya Maafa Kitaifa alichokiitisha kupokea taarifa ya hatua zilizochukuliwa kwenye maeneo yaliyopata athari. “Rais ameelekeza hatua za haraka zichukuliwe katika maeneo…
Mafuriko Kenya yauwa watu 228
Idadi ya walioaga dunia kutokana na mafuriko yaliyokumba Kenya imeongezeka hadi 228 huku mamlaka husika zikiendelea kukabiliana na tishio la kimbunga Hidaya. Huku mvua kubwa na upepo mkali ukitarajiwa kuongezeka katika siku zijazo, serikali ya Kenya jana Jumapili iliwataka raia kuchukua tahadhari kubwa kukabiliana na athari za mabadiliko hayo ya tabianchi. Isaac Mwaura Msemaji wa…
Kimbunga Hidaya kinakaribia Tanzania
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga “HIDAYA” kilichopo katika Bahari ya Hindi mashariki mwa pwani ya nchi yetu. Kimbunga “HIDAYA” kimeendelea kuimarika na kusogea kuelekea maeneo ya pwani ya nchi yetu ambapo hadi kufika saa tisa usiku wa tarehe 03 Mei 2024 kilikuwa kimeimarika zaidi na kufikia…
Ruto Aahirisha Ufunguzi Wa Shule Kwa Muda Usiojulikana
SERIKALI sasa imeahirisha kwa muda usiojulikana kufunguliwa kwa shule kwa Muhula wa Pili kutokana na mvua kubwa na mafuriko yanayoendelea kushuhudiwa nchini. Akitangaza hatua hiyo Ijumaa katika Ikulu ya Nairobi, Rais William Ruto alisema kwamba ameagiza Wizara ya Elimu kusitisha mipango ya ufunguzi wa shule hadi pale utathmini wa kina utafanywa na mwongozo mpya kutolewa….