Afrika Mashariki

Uingereza yawawekea vikwazo wanasiasa wa Uganda akiwemo Spika wa Bunge

Uingereza imewawekea vikwazo na marufuku ya kusafiri wanasiasa kadhaa wa Uganda akiwemo spika wa bunge la nchi hiyo Anita Among kufuatia madai ya ufisadi. Serikali ya Uingereza imesema hii ni mara ya kwanza kutumika kwa sheria yake mpya ya kimataifa ya vikwazo dhidi ya ufisadi kwa watu wanaokabiliwa na madai ya ufisadi nchini Uganda, na…

Kauli mbiu ya ‘kifo kwa Israeli’ ilisikika nchini “Tanzania”

Kauli mbiu ya ‘kifo kwa Israeli’ ilisikika nchini “Tanzania”

Sambamba na kuwasili kuwasili kwa Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani na Siku ya Quds Duniani; Idadi kubwa ya Waislamu na vijana wanaotafuta haki na kupinga dhuluma waliandamana jijini Dar es Salaam, mji mkuu wa Tanzania. Kwa mujibu wa ripoti ya habari katika siku hiyo, ikinukuu mashauriano ya kitamaduni ya ubalozi wa nchi…

Rais Ruto aitisha kikao maalum cha baraza la mawaziri huku vifo vya mafuriko vikikaribia 170

Rais Ruto aitisha kikao maalum cha baraza la mawaziri huku vifo vya mafuriko vikikaribia 170

Rais William Ruto leo ameongeza kikao maalum cha Baraza la Mawaziri kujadili hali ya mafuriko nchini. Issac Mwaura Msemaji wa serikali ya Kenya ameeleza kuwa mafuriko yameuwa karibu watu 170 mwezi ulioita. Mapema jana watu wasiopungua 45 walithibitika kufariki dunia wakati vijiji vyao viliposombwa na maji karibu na Mai Mahiu, umbali wa karibu kilomita 60 kutoka…

Watu 155 Waaga Dunia TZ Kufuatia Mafuriko, Maporomoko Ya Ardhi

Watu 155 Waaga Dunia TZ Kufuatia Mafuriko, Maporomoko Ya Ardhi

DAR ES SALAM, TANZANIA WATU 155 wamepoteza maisha na wengine 236 kujeruhiwa kufuatia mafuriko na maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mvua kubwa nchini Tanzania, Waziri Mkuu wa nchi hiyo Kassim Majaliwa amesema. Majaliwa aliliambia Bunge la Tanzania kwamba mafuriko hayo yanayosababishwa na mvua ya El Nino inayoshuhudiwa katika ukanda wa Afrika Mashariki pia yameharibu barabara,…

Rais Samia ataka ‘waliodumisha Muungano wa Tanzania waendelee kuenziwa’

Rais Samia ataka ‘waliodumisha Muungano wa Tanzania waendelee kuenziwa’

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania waendelee kuwaenzi na kudumisha maono ya waasisi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mwl. Julius Nyerere na Mzee Abeid Amani Karume pamoja na viongozi waliofuatia baada yao, kutokana na juhudi zao za kuujenga na kuudumisha Muungano huo. Rais wa Tanzania amesema hayo leo wakati akihutubia umati wa wananchi katika…

Congo yajiandaa kupanua na kuendeleza ushirikiano wake na Iran

Congo yajiandaa kupanua na kuendeleza ushirikiano wake na Iran

Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo akiwa katika kikao na balozi mpya wa Iran amesisitiza utayarifu wa nchi yake katika kupanua na kuendeleza ushirikiano na Iran. Amir Hosseini, balozi mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amekutana na kuzungumza na Bernard…

UN: Mapigano yamewalazimisha watu 50,000 kukimbia makazi yao kaskazini mwa Ethiopia

UN: Mapigano yamewalazimisha watu 50,000 kukimbia makazi yao kaskazini mwa Ethiopia

Umoja wa Mataifa umefichua kuwa zaidi ya watu 50,000 wamekimbia makazi yao kaskazini mwa Ethiopia, kutokana na mapigano yanayojiri katika eneo linalozozaniwa kati ya majimbo ya Tigray na Amhara. Mapigano ya pande hizo mbilii yamezua wasiwasi wa kimataifa. Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imesema katika ripoti iliyochapishwa jana usiku…

Bunge la Uingereza laidhinisha sheria ya kuwafukuza wahamiaji nchini Rwanda

Bunge la Uingereza laidhinisha sheria ya kuwafukuza wahamiaji nchini Rwanda

Bunge la Uingereza limepitisha sheria yenye utata inayoruhusu serikali kuwatimua waomba hifadhi ambao wameingia nchini kinyume cha utaratibu na kuwahamishia Rwanda. Baada ya kurudisha mara kwa mara rasimu ya Sheria ya Watafuta Hifadhi kwa Baraza la Commons ili ifanyiwe marekebisho na wajumbe wa Bunge la Uingereza la House of Lords, hatimaye iliidhinishwa na kuidhinishwa bila…