Afrika Mashariki

AU yatafuta ufadhili wa kusaidiwa kufikia malengo ya mwaka 2025 ya kuimarisha amani Somalia

AU yatafuta ufadhili wa kusaidiwa kufikia malengo ya mwaka 2025 ya kuimarisha amani Somalia

Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AUPSC) limetoa mwito wa kupewa ufadhili wa kutosha, endelevu na wa kuaminika kwa ajili ya kufikia malengo yake ya mwaka 2025 baada ya kuondoka Ujumbe wa Mpito wa AU nchini Somalia (ATMIS) mwezi Desemba mwaka huu. Taarifa ya baraza hilo imesema: “AUPSC inakaribisha pendekezo la serikali…

Tukikumbuka mauaji ya kimbari ya Rwanda miaka 30 baadaye – yalifanyikaje?

Tukikumbuka mauaji ya kimbari ya Rwanda miaka 30 baadaye – yalifanyikaje?

Vyombo vya habari vya ndani, haswa, vilikuwa muhimu katika kusaidia mauaji ya watu wengi wakati vyombo vya habari vya ulimwengu vilipuuza au kudharau. Imepita miongo mitatu tangu mauaji ya kimbari ya mwezi Aprili 1994 wakati watu wa kabila la Wahutu walio wengi zaidi kuwaua Watutsi walio wachache 800,000, Wahutu wenye msimamo wa wastani na wa…

Kagame ailaumu jamii ya kimataifa kwa kutochukua hatua za kuzuia mauaji ya kimbari ya Rwanda

Kagame ailaumu jamii ya kimataifa kwa kutochukua hatua za kuzuia mauaji ya kimbari ya Rwanda

Rais Paul Kagame wa Rwanda ameilaumu jamii ya kimataifa kwa kutochukua hatua za kuzuia mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 nchini humo. Rais Kagame alibainisha haya jana wakati Wanyarwanda walipoadhimisha miaka 30 tangu kujiri mauaji hayo ya kutisha ambapo Wahutu wenye misimamo mikali waliwauwa Watutsi wasiopungua laki nane. Katika maadhimisho hayo ya kumbukumbu ya mauaji…

Comoro imelitaja shambulio la utawala wa Israel kuwa ni kuingilia mamlaka ya kitaifa ya Syria na Iran

Comoro imelitaja shambulio la utawala wa Israel kuwa ni kuingilia mamlaka ya kitaifa ya Syria na Iran

Katika taarifa yake, serikali ya Comoro imelaani shambulio la utawala wa Israel siku ya Jumatatu. Amelitaja shambulio hilo kuwa ni ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu, sheria za kimataifa na kuingilia mamlaka ya kitaifa ya Syria na Iran na kuutaka Umoja wa Mataifa kukabiliana na hatua hiyo. Comoro imelitaja shambulio hilo la utawala wa Israel…

Watu kadhaa wakamatwa kwa kula mchana wa Ramadhani Zanzibar

Watu kadhaa wakamatwa kwa kula mchana wa Ramadhani Zanzibar

Jeshi la polisi visiwani Zanzibar nchini Tanzania limewatia mbaroni watu 12 kwa tuhuma za kukiuka utaratibu wa dini ya Kiislamu kwa kula mchana hadharani katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhani. Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Abubakar Khamis Ally…

Judith Suminwa Tuluka ateuliwa kuwa waziri mkuu wa kwanza mwanamke nchini Kongo DR

Judith Suminwa Tuluka ateuliwa kuwa waziri mkuu wa kwanza mwanamke nchini Kongo DR

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Felix Tshisekedi amemteua waziri wa mipango Judith Suminwa kuwa waziri mkuu wa nchi hiyo. Suminwa ni mwanamke wa kwanza kushikilia wadhifa huo wa uwaziri mkuu nchini Kongo DR. Uteuzi wa Suminwa unakamilisha wiki kadhaa  zilizogubikwa na hali ya sutafahamu kuhusu wadhifa huo. Katika hotuba aliyotoa kupitia televisheni ya taifa,…

Uteuzi wa Makonda wazusha gumzo Tanzania; ni kushushwa cheo au…

Uteuzi wa Makonda wazusha gumzo Tanzania; ni kushushwa cheo au…

Hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania ya kumteua aliyekuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Paul Makonda kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha imezusha gumzo na mitazamo kinzani baina ya wachambuzii na wananchi wa Tanzania kwa ujumla. Rais Samia Suluhu Hassan jana Jumapili alifanya mabadiliko ya viongozi mbalimbali katika serikali yake,…

Rais Museveni amteua mwanawe kuwa Mkuu wa Majeshi ya Uganda

Rais Museveni amteua mwanawe kuwa Mkuu wa Majeshi ya Uganda

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amemteua mwanawe wa kiume, Jenerali Muhoozi Kainerugaba kuwa Mkuu wa Majeshi ya nchi hiyo ya Afrika Mashariki. Wizara ya Ulinzi ya Uganda imetangaza habari hiyo leo Ijumaa bila kutoa maelezo ya kina. Taarifa ya wizara hiyo imesema Jenerali Kainerugaba amechukua nafasi ya Wilson Mbasu Mbadi, ambaye jana aliondolewa katika wadhifa…