Afrika Mashariki

Kenya yasema Wanajeshi wa Afrika Mashariki nchini DRC ‘walifanikiwa’

Kenya yasema Wanajeshi wa Afrika Mashariki nchini DRC ‘walifanikiwa’

Serikali ya Kenya imesisitiza kuwa Jeshi la Kikanda la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EACRF) lililohudumu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) hadi Desemba mwaka jana lilikuwa na mafanikio makubwa. Katika hotuba mjini Nairobi, Waziri Kiongozi wa Kenya ambaye pia Waziri wa Masuala ya Kigeni Musalia Mudavadi alitetea jeshi hilo la kikanda ambalo limelaumiwa kwa…

Mgomo wa madaktari nchini Kenya umeingia wiki ya pili huku huduma za dharura zikisitishwa

Mgomo wa madaktari nchini Kenya umeingia wiki ya pili huku huduma za dharura zikisitishwa

Madaktari nchini Kenya wamesitisha kutoa huduma za dharura katika hospitali za serikali na hivyo kuutumbukiza mfumo wa afya katika mgogoro mkubwa zaidi huku mgomo wa kitaifa wa madaktari ukiingia wiki ya pili jana Alhamisi. Katibu Mkuu wa Muungano wa Madaktari, Wafamasia na Madaktari wa Meno nchini Kenya (KMPDU), Davji Atella amesema kuwa muungano huo unasimama…

Uhusiano wa Tanzania na utawala unaoukalia kwa mabavu wa Kizayuni baada ya operesheni ya kimbunga ya Al-Aqsa

Uhusiano wa Tanzania na utawala unaoukalia kwa mabavu wa Kizayuni baada ya operesheni ya kimbunga ya Al-Aqsa

Siku moja baada ya operesheni ya kimbunga ya Al-Aqsa, serikali ya Tanzania haikuungana na baadhi ya serikali za Afrika zilizoita operesheni hiyo kuwa ni shambulio la kigaidi, na kwa taarifa ya tahadhari, baada ya kulaani watu wasio na hatia katika migogoro hii, iliwaalika Waisraeli na Wapalestina. pande za kujizuia. Bila shaka, serikali ya Tanzania haikutaka…

Taharuki yatanda Sudan Kusini baada ya watu 15 kuuawa Pibor

Taharuki yatanda Sudan Kusini baada ya watu 15 kuuawa Pibor

Hali ya wasi wasi imetanda nchini Sudan Kusini kufuatia mauaji ya watu 15 yaliyotokea katika eneo la Pibor, mashariki mwa nchi hiyo. Abraham Kelang, Waziri wa Habari wa Eneo Pana la Pibor aliliambia shirika la habari la Reuters jana Jumatano kuwa, miongoni mwa waliouawa katika shambulizi hilo la wabeba silaha ni Kamishna wa Kaunti ya…

Heka heka za Tanzania katika mshikamano na Palestina

Heka heka za Tanzania katika mshikamano na Palestina

Uungwaji mkono kwa Palestina uliingia katika ulingo wa siasa za Afrika na hasa Tanzania kwa sababu mbalimbali za kisiasa na kihistoria, na Julius Nyerere, baba wa taifa la Tanzania – ambaye aliitwa mwalimu – alicheza nafasi muhimu katika hili. Nyerere alikuwa kiongozi mwenye mapenzi makubwa aliyewatia moyo watu wa Tanzania na aliweza kuandaa harakati zao…

Mashirika ya Afrika Mashariki yaonya kua Magaidi wanalenga maslahi ya ki Israeli

Mashirika ya Afrika Mashariki yaonya kua Magaidi wanalenga maslahi ya ki Israeli

Vyombo vya usalama vinahofia kwamba makundi ya kigaidi yanalenga maslahi ya Israeli katika eneo hilo kutokana na mzozo wa Gaza, ambao umeyafanya makundi ya wapiganaji kuwa na huruma na Hamas. Maafisa wa usalama wanaohudhuria mkutano huko Entebbe pamoja na wabunge wa kamati za ulinzi na usalama za mabunge husika walisema kutokana na mzozo wa Mashariki…

Msemaji wa Rwanda akataa kuthibitisha iwapo Kagame atakutana na Tshisekedi

Msemaji wa Rwanda akataa kuthibitisha iwapo Kagame atakutana na Tshisekedi

Msemaji wa Serikali ya Rwanda Yolande Makolo hajakanusha wala kuthibitisha ripoti kwamba Rais Paul Kagame amekubali kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na mwenzake wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Duru za Habari zinaripoti kuwa, wawili hao watajaribu kumaliza mzozo kuhusu tuhuma za kuwaunga mkono waasi wao kwa wao, ikimnukuu waziri wa mambo ya nje…

Raia wa Zimbabwe wapiga kambi ubalozi wa Marekani kupinga vikwazo kwa miaka mitano sasa

Raia wa Zimbabwe wapiga kambi ubalozi wa Marekani kupinga vikwazo kwa miaka mitano sasa

Wanaharakati wa haki za binadamu nchini Zimbabwe wameendelea kupiga kambi mbele ya ubalozi wa Marekani mjini Harare kupinga siasa za vikwazo za dola hilo la kiistikbari na wamesema kuwa, hawataondoka kwenye kambi hiyo madipale Marekani itakapofuta vikwazo vyake dhidi ya Zimbabwe. Sally Ngoni, msemaji wa Muungano wa Broad Alliance Against Sanctions, ambao umepiga kambi mbele…