Afrika Mashariki

Wanawake nchini Kenya wafanya sherehe ya giza katika siku ya wapendanao

Wanawake nchini Kenya wafanya sherehe ya giza katika siku ya wapendanao

Mamia ya wanawake wa Kenya wafanya sherehe ya giza ya wapendanao kukomesha mauaji ya wanawake nchini. Huku watu ulimwenguni wakisherehekea Siku ya Wapendanao kwa maua na chokoleti, wanawake wa Kenya wakiwa katika maombolezo wakiwa wamevalia nguo nyeusi na kuwasha mishumaa na kushikilia waridi jekundu katika hafla ya kuwaenzi wanawake zaidi ya 30 waliouawa nchini humo…

Polisi Kenya yamkamata tena mshukiwa wa mauaji huko Marekani

Polisi Kenya yamkamata tena mshukiwa wa mauaji huko Marekani

Polisi ya Kenya imetangaza kuwa imemkamata tena Kevin Kinyanjui Kang’ethe aliyetoroka katika Kituo cha Polisi cha Muthaiga alimokuwa akizuiliwa baada ya ubalozi wa Marekani kuomba Kenya isaidie kumsafirisha hadi nchini humo ili akashtakiwe kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake na kisha kuutupa mwili wake kwenye uwanja wa ndege. Kutoroka gerezani Kinyanjui Kang’ethe akiwa mikononi mwa…

UHUSIANO WA ISRAELI-UGANDA WAKATI WA IDI AMIN

UHUSIANO WA ISRAELI-UGANDA WAKATI WA IDI AMIN

Katika muktadha wa uhusiano kati ya Israel na nchi za Kiafrika ulioanza kustawi mwishoni mwa miaka ya 1950, Uganda, iliyopata uhuru mnamo mwaka 1962, ina nafasi maalum. Israel ilijitolea juhudi na rasilimali nyingi katika kukuza uhusiano na nchi ya Uganda, na shughuli yake nchini Uganda katika miaka ya 1960 ilikuwa kati ya mapana zaidi barani…

Mzozo kati ya Israel na Palestina wasababisha mataifa ya Afrika kugawanyika

Mzozo kati ya Israel na Palestina wasababisha mataifa ya Afrika kugawanyika

Kenya, Ghana, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo miongoni mwa nchi zinazounga mkono Israel – Misimamo ya nchi za Kiafrika kuhusu suala hili inategemea zaidi maslahi ya kisiasa na kijiografia (kulingana na uchambuzi). – Nchi kama Afrika Kusini na Algeria zimechukua msimamo mkali kwa ajili ya Wapalestina. Mzozo unaoendelea kati ya Israel na Hamas katika Ukanda…

Ufunguzi wa ubalozi wa 11 wa utawala wa Kizayuni barani Afrika

Ufunguzi wa ubalozi wa 11 wa utawala wa Kizayuni barani Afrika

Hapo jana utawala wa Kizayuni ulifungua ubalozi wake katika nchi ya Rwanda iliyoko Afrika Mashariki, na hivyo idadi ya balozi za utawala huo katika nchi za Afrika kufikia 11. Kwa mujibu wa Kituo cha Habari cha Palestina, kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya utawala wa Kizayuni, Yoval Rotim alifungua ubalozi…

Malawi waondoa visa kwa nchi 79 duniani

Malawi waondoa visa kwa nchi 79 duniani

MALAWI imeondoa vikwazo vya viza kwa wasafiri kutoka mataifa 79 katika juhudi za kukuza utalii na biashara nchini humo. Waziri wa Usalama wa Ndani Ken Zikhałe, katika notisi ya gazeti la Serikali Jumatano, alirekebisha kanuni za uhamiaji na kuondoa vizuizi vya visa kwa raia kutoka Uingereza, Uchina, Urusi, Ujerumani, Australia, Kanada, Ubelgiji, Ghana, Gambia, Sierra Leone,…