Watu 500 wamefariki katika maporomoko ya udongo na maombolezo ya hadhara nchini Ethiopia
Kufuatia maporomoko ya udongo yaliyosababisha vifo vya watu 500 kusini mwa Ethiopia, bunge la nchi hiyo lilitangaza siku tatu za maombolezo ya umma nchini Ethiopia. Bunge la Ethiopia limetoa taarifa likitoa salamu zake za rambirambi kwa watu wa nchi hii na familia za wahanga wa maporomoko ya ardhi katika eneo la Gufa. Aidha, bunge la…
Ethiopia yaanza siku 3 za maombolezo baada ya maporomoko ya udongo kuua 260
Bunge la Ethiopia limetangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa kuanzia leo Jumamosi kufuatia maporomoko ya udongo yaliyoua mamia ya watu. Taarifa rasmi ya Bunge la Wawakilishi la Ethiopia imeeleza kuwa, katika siku tatu hizo za maombolezo ya kitaifa, bendera zitapepea nusu mlingoti kote nchini, na katika meli, balozi, balozi ndogo na ofisi za uwakilishi za…
Maelfu ya watoto Kusini mwa Afrika wanakabiliwa na utapiamlo
Ukame mkali ambao umeathiri maeneo makubwa ya Kusini mwa Afrika na unatishia maisha ya mamia ya maelfu ya watoto katika nchi sita zilizoathiriwa zaidi. Kupitia taarifa iliyotolewa Alhamisi jijini Nairobi, Kenya na Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia watoto UNICEF Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika Etleva Kadilli, amesema kuwa zaidi…
‘Kenya haijalala tena’: Kwa nini vijana waandamanaji hawarudi nyuma
Wiki kadhaa za maandamano dhidi ya serikali zinahitaji kukomeshwa kwa utawala mbovu, ufisadi na Rais Ruto ajiuzulu. Nairobi, Kenya – Daniel Wambua hakukurupuka, hata polisi walipomfyatulia mabomu ya machozi Julai 16. Siku hiyo, mtaa wa Kimathi katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, eneo kuu la biashara lilikuwa na moshi mwingi. Takriban mwezi mmoja baada ya…
Umoja wa Mataifa: Takriban watu milioni 26 nchini Sudan wanakabiliwa na njaa kali
Akielezea wasiwasi wake kuhusu kuzorota kwa hali ya chakula nchini Sudan, msemaji wa Umoja wa Mataifa alisema: Takriban wanaume, wanawake na watoto milioni 26 wanakufa njaa, ambayo ni sawa na wakazi wote wa Australia. Kulingana na ripoti ya IRNA kutoka shirika la habari la Anatolia siku ya Jumatano, Stephan Dujarric aliwaambia waandishi wa habari: Kati…
Rais Ruto wa Kenya ateuwa wapinzani katika safu ya baraza lake la mawaziri
Rais William Ruto wa Kenya amewateuwa katika baraza lakek jipya la mawaziri shakhsia wa upinzani huku akiwarejesha nyadhifani mawaziri kadhaa aliokuwa amewafuta kazi. Rais wa Kenya amechukua hatua hii kufuatia maandamano makubwa dhidi ya serikali yaliyopelekea kuuliwa watu zaidi ya 50 huko Kenya. Rais Ruto amemteuwa kiongozi wa wachache bungeni Opiyo Wandayi katika nafasi ya…
Uhusiano kati ya Tanzania na Utawala wa Kizayuni
Ubalozi wa Tanzania mjini Tel Aviv ulifunguliwa mnamo mwaka 2018 na umejizuia kupiga kura dhidi ya taifa la Kiyahudi la Israel kwenye Umoja wa Mataifa na baadhi ya vikao vya kimataifa. Siku ya Jumanne, tarehe 4 Novemba, gazeti la Mwananchi la Tanzania liliandika katika makala yenye kichwa hatua za Tanzania katika diplomasia: Ubalozi wa Tanzania…
Polisi Uganda wawakamata waandamanaji waliojaribu kuvamia bunge
Waandamanaji kadhaa wamekamatwa Kampala mji mkuu wa Uganda wakati wanaharakati wa kupinga ufisadi walipokuwa wakiandamana kuelekea bungeni. Ingawa biashara ilisalia kuwa ya kawaida katika sehemu nyingi za jiji, katika sehemu zingine, waandamanaji walibeba mabango walipokuwa wakiandamana kuelekea bungeni. Hata hivyo, timu ya pamoja ya wanajeshi na polisi ilichukua hatua kali kuwakamata watu wengi ikiwa ni…