AFRIKA

Shambulio la RSF laua watu 22 el-Fasher, magharibi mwa Sudan

Shambulio la RSF laua watu 22 el-Fasher, magharibi mwa Sudan

Kwa akali watu 22 wameuawa katika shambulio linalodaiwa kufanywa na Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) katika mji wa el-Fasher, jimboni Darfur, magharibi mwa Sudan. Kamati ya Mapambano ya el-Fasher imesema katika taarifa iliyochapishwa jana kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook kuwa, wapiganaji wa RSF wameshambulia kwa maroketi masoko, hospitali na majengo ya makazi ya…

Ethiopia yaanza siku 3 za maombolezo baada ya maporomoko ya udongo kuua 260

Ethiopia yaanza siku 3 za maombolezo baada ya maporomoko ya udongo kuua 260

Bunge la Ethiopia limetangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa kuanzia leo Jumamosi kufuatia maporomoko ya udongo yaliyoua mamia ya watu. Taarifa rasmi ya Bunge la Wawakilishi la Ethiopia imeeleza kuwa, katika siku tatu hizo za maombolezo ya kitaifa, bendera zitapepea nusu mlingoti kote nchini, na katika meli, balozi, balozi ndogo na ofisi za uwakilishi za…

‘Kenya haijalala tena’: Kwa nini vijana waandamanaji hawarudi nyuma

‘Kenya haijalala tena’: Kwa nini vijana waandamanaji hawarudi nyuma

Wiki kadhaa za maandamano dhidi ya serikali zinahitaji kukomeshwa kwa utawala mbovu, ufisadi na Rais Ruto ajiuzulu. Nairobi, Kenya – Daniel Wambua hakukurupuka, hata polisi walipomfyatulia mabomu ya machozi Julai 16. Siku hiyo, mtaa wa Kimathi katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, eneo kuu la biashara lilikuwa na moshi mwingi. Takriban mwezi mmoja baada ya…

Umoja wa Mataifa: Takriban watu milioni 26 nchini Sudan wanakabiliwa na njaa kali

Umoja wa Mataifa: Takriban watu milioni 26 nchini Sudan wanakabiliwa na njaa kali

Akielezea wasiwasi wake kuhusu kuzorota kwa hali ya chakula nchini Sudan, msemaji wa Umoja wa Mataifa alisema: Takriban wanaume, wanawake na watoto milioni 26 wanakufa njaa, ambayo ni sawa na wakazi wote wa Australia. Kulingana na ripoti ya IRNA kutoka shirika la habari la Anatolia siku ya Jumatano, Stephan Dujarric aliwaambia waandishi wa habari: Kati…

Mandela: Houthi wazidishe mashambulizi ili kuikomboa Palestina

Mandela: Houthi wazidishe mashambulizi ili kuikomboa Palestina

Mjukuu wa Nelson Mandela, shujaa na kiongozi wa mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini ametoa mwito kwa Harakati ya Ansarullah na vikosi vya wanajeshi wa Yemen kushadidisha operesheni zao dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel unaoendelea kuua watoto na wanawake wasio na hatia katika Ukanda wa Gaza. Nkosi Zwelivelile Mandela, ambaye…

Uhusiano kati ya Tanzania na Utawala wa Kizayuni

Uhusiano kati ya Tanzania na Utawala wa Kizayuni

Ubalozi wa Tanzania mjini Tel Aviv ulifunguliwa mnamo mwaka 2018 na umejizuia kupiga kura dhidi ya taifa la Kiyahudi la Israel kwenye Umoja wa Mataifa na baadhi ya vikao vya kimataifa. Siku ya Jumanne, tarehe 4 Novemba, gazeti la Mwananchi la Tanzania liliandika katika makala yenye kichwa hatua za Tanzania katika diplomasia: Ubalozi wa Tanzania…

Polisi Uganda wawakamata waandamanaji waliojaribu kuvamia bunge

Polisi Uganda wawakamata waandamanaji waliojaribu kuvamia bunge

Waandamanaji kadhaa wamekamatwa Kampala mji mkuu wa Uganda wakati wanaharakati wa kupinga ufisadi walipokuwa wakiandamana kuelekea bungeni. Ingawa biashara ilisalia kuwa ya kawaida katika sehemu nyingi za jiji, katika sehemu zingine, waandamanaji walibeba mabango walipokuwa wakiandamana kuelekea bungeni. Hata hivyo, timu ya pamoja ya wanajeshi na polisi ilichukua hatua kali kuwakamata watu wengi ikiwa ni…

Israel: Tuliizuia Iran kushambulia raia wa nchi yetu barani Afrika

Israel: Tuliizuia Iran kushambulia raia wa nchi yetu barani Afrika

Shirika la Kijasusi na Operesheni Maalum la Israel lilitangaza kusitishwa kwa mashambulizi kadhaa yanayohusiana na Jeshi la Quds la Iran dhidi ya malengo ya Israel barani Afrika. Shirika la Ujasusi na Operesheni Maalum la Israel (Mossad) lilitangaza kuwa limezuia mashambulizi yanayohusiana na Kikosi cha Quds cha Iran dhidi ya malengo ya Israel huko Senegal, Ghana…