AFRIKA

Rais Mwinyi ateua Jaji Mkuu Zanzibar

Rais Mwinyi ateua Jaji Mkuu Zanzibar

Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amewateua viongozi mbalimbali akiwemo Jaji Mkuu wa Zanzibar, Khamis Ramadhan Abdalla ambaye alikuwa anaikaimu nafasi hiyo. Taarifa iliyotolewa leo Ijumaa Juni 24, 2022 na kusainiwa na Kaimu Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Mussa Haji Ali, imesema pia Rais Mwinyi amewateua majaji wengine watatu wa Mahakama…

Serikali yapitisha Bajeti

Serikali yapitisha Bajeti

Dodoma. Bajeti ya Serikali ya mwaka 2022/2023 ya Sh41.48 trilioni imepitishwa na wabunge leo Ijumaa, Juni 24,2022 baada ya wabunge 356 kati ya 379 kupiga kura za ndio.Akitangaza matokeo bungeni leo Ijumaa Juni 24,2022 Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amesema jumla ya wabunge 379 waliokuwepo bungeni walipiga kura. Amesema hakuna mbunge aliyesema hapana huku wabunge…

Tanzania na Congo kushirikiana kukuza kilimo

Tanzania na Congo kushirikiana kukuza kilimo

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema kuwa serikali itaendelea kushirikiana na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) katika kuendeleza sekta ya kilimo hususan katika nyanja za utafiti, kubadilishana utaalamu na kuimarisha soko la mazao mbalimbali. Waziri amesema hayo jana Alhamisi Juni 23, 2022 wakati akizungumza na ujumbe kutoka DRC ulioongozwa na Gavana wa Jimbo la…

Nairobi, Kenya; Viongozi Wa EAC Waunda Kikosi Cha Kulinda Amani DRC

Nairobi, Kenya; Viongozi Wa EAC Waunda Kikosi Cha Kulinda Amani DRC

  FARAAN:MARAIS wa Afrika Mashariki wameidhinisha kuundwa kwa kikosi maalum cha kudumisha amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Katika mkutano uliofanyika katika Ikulu ya Nairobi, marais hao waliagiza kwamba wanajeshi wa kikosi hicho maalum cha Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) watumwe kudumisha amani katika taifa hilo linalokumbwa na misukosuko. Wanajeshi hao wanatarajiwa kushirikiana…

Hali nchini Nigeria yatarajiwa kua mbaya zaidi endapomsaidizi wa haraka wa hali ya kibinadamu atakosekana

Hali nchini Nigeria yatarajiwa kua mbaya zaidi endapomsaidizi wa haraka wa hali ya kibinadamu atakosekana

Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa nchini Nigeria ambaye pia ni mratibu wa misaada ya kibinadamu nchini humo Matthias Schmale amesema zaidi ya watu milioni 4.1 kaskazini mashariki mwa nchi hiyo wanahitaji msaada wa haraka wa chakula katika msimu wa mwambo utakao anza hivi karibuni. Akihutubia kikao cha nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa mjini Geneva,…

Chuo Kikuu cha Nairobi (UoN) chapuuza shahada ya Naibu Rais ‘William Kipchirchir Ruto’ ambayo imeenea mitandaoni

Chuo Kikuu cha Nairobi (UoN) chapuuza shahada ya Naibu Rais ‘William Kipchirchir Ruto’ ambayo imeenea mitandaoni

Kwa sasa mgombea huyo ana digrii tatu kutoka kwenye taasisi hiyo. Chuo Kikuu cha Nairobi (UoN) kimejitokeza kufafanua kuwa waraka unaosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikidaiwa kua ni shahada ya digrii aliyokabidhiwa naibu Rais nchini Kenya Bw. William Ruto ni ghushi. Ukweli ni kwamba naibu rais alijiandikisha kwa Shahada ya Kwanza baada ya kukamilisha masomo…

Jeshi laangamiza makumi ya magaidi wa kundi la Ash-Shabab katikati ya Somalia

Jeshi laangamiza makumi ya magaidi wa kundi la Ash-Shabab katikati ya Somalia

Makumi ya magaidi wa kundi la ukufurishaji la Ash-Shabab wameuawa katika mapigano na vikosi vya jeshi la serikali yaliyotokea katika mji wa Adado katikati mwa Somalia.

Wanasiasa jijini Mombasa Waahidi Kufanya Kampeni Kwa Amani

Wanasiasa jijini Mombasa Waahidi Kufanya Kampeni Kwa Amani

Wagombea ugavana na viti vingine vya kisiasa katika Kaunti ya Mombasa, wametia sahihi makubaliano mbele ya viongozi wa dini kwamba watadumisha amani katika kipindi chote cha uchaguzi wa Agosti. Mkataba huo wa Amani, uliandaliwa na Baraza la Kitaifa la Makanisa ya humu nchini (NCCK), Baraza kuu la Waislamu nchini (SUPKEM), Kongamano la Mapadri wa Kikatoliki…