AFRIKA

UN: Theluthi moja ya Wasudani wanakabiliwa na baa la njaa

UN: Theluthi moja ya Wasudani wanakabiliwa na baa la njaa

Mashirika ya Umoja wa Mataifa yamesema zaidi ya asilimia 30 ya wananchi wa Sudan wanasumbuliwa na mgogoro mkubwa wa chakula uliosababishwa na mabadiliko ya tabianchi, mzozo wa kisiasa na kupanda bei za chakula katika soko la dunia. Taarifa ya pamoja ya Mpango wa Chakula wa Umoja wa Mataifa (WFP) na Shirika la Chakula na Kilimo la…

Uchaguzi kenya unavyotoa somo Tanzania

Uchaguzi kenya unavyotoa somo Tanzania

Kasoro ya Kenya kisiasa mpaka sasa ni ukabila na ukanda. Mathalan, mwaka huu baada ya Wakikuyu kutokuwa na mgombea urais mwenye nafasi ya kushinda, kulitokea ulazima wa mgombea mwenza. Raila Odinga wa Azimio la Umoja One Kenya Coalition na William Ruto, mwenye tiketi ya United Democratic Alliance (UDA), ndio vinara wa mbio za urais na…

Wajackoyah Kuimarisha Biashara Ya Bangi

Wajackoyah Kuimarisha Biashara Ya Bangi

Faraan; Ingawa mwaniaji kiti cha Urais kwa tikiti ya chama chake cha Roots Party Prof George Wajackoyah ni mgeni katika siasa za humu nchini, amejizolea umaarufu kwa kutoa ahadi zake kwamba atahalalisha matumizi na uuzaji wa bangi au marijuana. Prof Wajackoya anasema mauzo ya bhangi ndio suluhu ya matatizo ya kiuchumi yanayokumba nchi hii. Prof…

Sakaja Adai Ana Digrii

Sakaja Adai Ana Digrii

Faraan ; Seneta Johnson Sakaja anayepingwa kuwania ugavana wa Nairobi kwa madai hana Digirii, Jumatatu alisema alisoma katika Chuo Kikuu cha Teams University na kuhitimu Oktoba 2016. Katika ushahidi aliowasilisha kwa jopo la Tume ya Uchaguzi (IEBC) la kutatua mizozo ya uteuzi na uidhinishaji wa wawaniaji, Bw Sakaja anayedaiwa hajahitimu kwa shahada hiyo, alidai wamepotoka…

Mfumuko wa bei wafikia asilimia 3.7

Mfumuko wa bei wafikia asilimia 3.7

Dodoma ; Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amesema katika mwaka 2021 mfumuko wa bei uliongezeka kwa wastani wa asillimia 3.7 ikilinganishwa na wastani wa asilimia 3.3 mwaka 2020. Dk Mwigulu amesema hayo leo Jumanne Juni 14, 2022 wakati akiwasilisha hali ya uchumi wa Taifa na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa…

Rais Samia awasili Oman na kupokewa rasmi na mwenyeji wake, Sultan Haitham bin Tarik

Rais Samia awasili Oman na kupokewa rasmi na mwenyeji wake, Sultan Haitham bin Tarik

Sultan Haitham bin Tariq Aal Said w Oman leo Jumapili amempokea rasmi Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya kuwasili nchini humo. Rais Samia yuko katika ziara ya kikazi ya siku tatu nchini Oman. Uhusiano wa Tanzania na Oman hasa Zanzibar na maeneo ya pwani ya Afrika Mashariki yakiwemo…

TZ Yawarai Viongozi Wa Upinzani Walio Uhamishoni Warejee

TZ Yawarai Viongozi Wa Upinzani Walio Uhamishoni Warejee

SERIKALI ya Tanzania imewataka viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) waliotorokea mafichoni katika mataifa ya kigeni, kurejea nchini. Wizara ya Masuala ya Ndani iliomba wanasiasa hao warudi nyumbani ikisema hakuna uhasama baina ya upinzani na serikali. Miongoni mwa viongozi wa Chadema wanaoishi uhamishoni ni aliyekuwa mwaniaji urais 2020, Tundu Lissu, na wabunge wa…

Kingi, Muturi Na Mutua Hatarini Msajili Akikosa Kuwatambua

Kingi, Muturi Na Mutua Hatarini Msajili Akikosa Kuwatambua

HATIMA ya Gavana wa Machakos Alfred Mutua, mwenzake wa Kilifi Amason Kingi na Spika wa Bunge ya Kitaifa Justin Muturi kwenye uchaguzi mkuu ujao haijulikani, baada ya Msajili wa Vyama vya Kisiasa Ann Nderitu, kukataa kutambua vyama vyao kama wanachama wa muungano wa Kenya Kwanza. Watatu hao wamekuwa wakipigia debe azma ya urais ya Naibu…