
Mwisho Wa Lami Kwa Sonko Kisiasa
CHAMA cha Wiper kimepata pigo kubwa baada ya Tume ya Uchaguzi (IEBC) kumzima aliyekuwa gavana wa Nairobi, Bw Mike Sonko kuwania kiti hicho katika Kaunti ya Mombasa. Kwenye kikao na wanahabari katika ukumbi wa Bomas of Kenya, Nairobi, Jumamosi, mwenyekiti wa tume hiyo Wafula Chebukati alisema Bw Sonko hajahitimu kuwania kiti chochote cha umma kwa…

Ruto Aidhinishwa Rasmi Na IEBC Kuwania Urais
FARAAN: NAIBU Rais Willam Ruto Jumamosi ameidhinishwa kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa Agosti 9, 2022. Hii ni mara ya kwanza kwa mwanasiasa huyo ambaye alichaguliwa kwa mara ya kwanza kuwa Mbunge wa Eldoret Kaskazini mnamo 1997, kujitosa rasmi katika kinyang’anyiro cha urais nchini. Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati…

Iran iko tayari kutuma chanjo ya Corona nchini Kenya
Katika mazungumzo ya simu na waziri mwenza kutoka nchini Kenya, Waziri wa Mambo ya Nje alitangaza utayari wa nchi ya Iran kwenye swala la kutuma msaada wa kibinadamu nchini Kenya, ikiwa ni pamoja na chanjo ya Corona. Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza umuhimu wa uhusiano na bara la…

UN: Baa la njaa linainyemelea Afrika Mashariki, ukame utaendelea kwa mwaka wa tano
Mashirika sita ya Umoja wa Mataifa na wadau wengine wa masuala ya kibinadamu wametoa tahadhari ya baa la njaa kunyemelea eneo la Afrika Mashariki baada ya miaka minne ya ukame mkali huku ikitabiriwa uhaba wa mvua kwa mwaka mwingine wa tano mfululizo. Taarifa ya pamoja iliyotolewa mjini Nairobi Kenya na mashirika ya Umoja wa Mataifa la…

Umoja wa Mataifa wasikitishwa na hatua ya Mali ya kujitoa katika kikosi cha kupambana na ugaidi
Umoja wa Mataifa umesikitishwa na uamuzi wa nchi ya Mali ya kujiondoa katika kikosi cha kundi la nchi tano za eneo la Sahel linalojulikana kama G5 ambalo lilibuniwa mwaka 2014 kwa ajili ya kupambana na ugaidi katika eneo hilo. Bi Martha Pobee, Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya siasa barani Afrika…

Hassan Sheikh Mahmoud ateuliwa kuwa rais mpya wa Somalia
Bunge na seneti ya Somalia zimemchagua rais wa zamani Bw. Hassan Sheikh Mahmoud kuwa rais wa nchi hiyo kwa muhula wa miaka minne. Vyanzo vya habari viliripoti ushindi wa Rais wa zamani wa Somalia Hassan Sheikh Mahmoud uliopatikana kupitia uchaguzi wa bunge na kufanikiwa kua raisi kwa muhula wa miaka minne. Alikuwa rais wa nane…

Raila amtaja Martha Karua kuwa mgombea mwenza: ‘inawezekana’
Mgombea urais wa Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga hatimaye amemteuwa kiongozi wa Narc-Kenya Martha Karua kuwa mgombea mwenza. Akimtaja kwenye hafla iliyofanyika Jumatatu Raila alisema kwamba Jopo la Azimio la Kuteuwa Mgombea Mwenza lilitoa ripoti na kusema Karua aliibuka bora kwa nafasi hiyo. Jopo hilo pia lilikuwa limewahoji magavana Charity Ngilu…

Rais Samia aridhia nyongeza ya mishahara kwa asilimia 23.3
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia mapendekezo ya kuongeza mishahara ikiwemo kima cha chini kwa watumishi wa umma kwa asilimia 23.3, ambapo Sh1.59 trilioni itatumika kwa ongezeko hilo. Taarifa iliyotolewa leo Mei 14 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus inasema mapendekezo hayo ni mwendelezo wa kikao cha Waziri Mkuu, Kassim…