
TUSIJE TUKASAHAU: Vijana Waliojisajili Kidijitali Kwa Mpango Wa Kazi Mtaani Hawajaanza Kazi
MNAMO Oktoba 20, 2021 Rais Uhuru Kenyatta aliamuru Hazina ya Kitaifa kutenga Sh10 billion za kufadhili awamu ya tatu ya Mpango wa Kazi Mtaani. “Naamuru Hazina ya Kitaifa kutoa Sh10 bilioni za kugharamia awamu ya tatu ya Mpango wa Kazi Mtaani. Mpango huo ambao unalenga kufaidi zaidi ya vijana 200,000 utatekelezwa katika kaunti zote 47…

Usitumie Ikulu kama Jukwaa La Kueneza Propaganda; DP Ruto amrushia Rais Uhuru Makombora
William Ruto alisema amekubali kwamba Rais Uhuru Kenyatta hatampigia debe licha ya kumuunga mkono katika chaguzi mbili.Alimwonya kiongozi wa taifa dhidi ya kutumia Ikulu kama njia ya kueneza propaganda na ujumbe wa mgawanyiko wa kikabila Naibu Rais alimkumbusha Uhuru kwamba alisimama upande wake wakati wengi wa wale anaowaita ‘marafiki’ sasa, walikuwa maadui zake. Katika ziara…

Mke wa Raila Azomewa mjini Meru
Ida Odinga, mke wa Kiongozi wa Upinzani Kenya, Raila Odinga amekutana na fadhaa ya haja, baada ya kuzomewa alipokuwa anatoa hotuba kwenye kongamano la Jumuiya ya Wanawake Wakatoliki Kenya (CWA), Dayosisi ya Meru. Mkutano wa Umoja wa Wanawake Wakatoliki ulifanyika jana, Meru na kuhudhuriwa na wanawake wengi wa jumuiya hiyo, wakiwemo wanasiasa wenye misimamo inayopingana…

Ulaya Yaililia Afrika iunge Kulaani Hatua Ya Urusi Kuishambulia Ukraine
UJUMBE wa Muungano wa Ulaya (EU) nchini Tanzania umeirai Afrika kuisaidia dhidi ya dhuluma na ukatili unaoendeshwa na Urusi nchini Ukraine. Wito huo ulitolewa jana jijini Dar es Salaam na mabalozi wanane wanaoziwakilisha nchi za Poland, Ufaransa, Finland, Ujerumani, Italia, Uholanzi, Uswidi na Uhispania. Balozi wa EU nchini Tanzania, Manfredo Fanti, pia alikuwa kwenye kikao…

Rais Samia ataka mwelekeo mpya wa majeshi
Rais Samia Suluhu Hassan ameliagiza Jeshi la Magereza kuhakikisha askari wake waliopanda vyeo kuendelea kutekeleza majukumu yao na kuacha tabia ya kurundikana ofisini pasipokuwa na kazi. Amesema hayo leo Ijumaa Machi 25, 2022 katika uzinduzi na uwekaji wa mawe ya msingi kwenye miradi ya makao makuu ya Magereza Dodoma “Haina maana kama mtu ana cheo…

Karua Aingia Boksi
BAADA ya kipindi kirefu cha kutojulikana mrengo anaouegemea, hatimaye Kiongozi wa Narc Kenya, Martha Karua amejiunga na Azimio la Umoja na kutangaza atampigia debe Raila Odinga kwenye kinyang’anyiro cha urais Agosti 9. Bi Karua alitoa tangazo hilo jana baada ya kufanya mkutano wa faragha na Bw Odinga katika Serena Hotel, Nairobi. “Niko hapa kuthibitisha kuwa,…

Tangazo la kupiga marufuku maandamano mjini Khartoum
Mamlaka ya Sudan ilipiga marufuku mikusanyiko na maandamano yoyote katika mkesha wa maandamano hayo mbele ya Ikulu ya Rais kwa mwaliko wa Kamati za Upinzani na Kamati ya Walimu. Tume ya Usalama ya Khartoum ilitangaza kwamba mikusanyiko na maandamano yoyote katika eneo la kati la Khartoum kutoka kwa reli ya kusini hadi makao makuu ya…

Mamia ya Wasudani wafunga barabara kuu za Khartoum wakidai utawala wa kiraia
Mamia ya waandamanaji nchini Sudan wamefunga mitaa kadhaa katika mji mkuu, Khartoum leo Jumanne, wakishinikiza kuondoka madarakani utawala wa kijeshi na kuanzishwa utawala wa kiraia na kidemokrasia nchini humo. Watu walioshuhudia wanasema, waandamanaji hao wamefunga mitaa mikubwa ya Khartoum, Bahri (Kaskazini) na Omdurman (Magharibi), kwa kutumia vizuizi vya zege, mashina ya miti na matairi yanayowaka…