AFRIKA

Bunge la Ethiopia lapiga kura ya kusitishwa mapema hali ya hatari ya miezi sita

Bunge la Ethiopia lapiga kura ya kusitishwa mapema hali ya hatari ya miezi sita

Hatua hiyo ni ishara kwamba mzozo wa umwagaji damu kati ya serikali na vikosi vya waasi wa Tigray unaweza kupungua. Uamuzi wa Bunge la Ethiopia utaanza kutekelezwa hivi karibuni. Ethiopia ilitangaza hali ya hatari mwezi Novemba mwaka jana baada ya vikosi vya wapiganaji wa Tigray kuvamia maeneo zaidi ya Ethiopia na kutishia mji mkuu wa nchi hiyo, Addis…

Ujumbe wa ECOWAS na wanajeshi waliofanya mapinduzi nchini Burkina Faso

Ujumbe wa ECOWAS na wanajeshi waliofanya mapinduzi nchini Burkina Faso

Baada ya kupita wiki moja tangu kutokea mapinduzi ya kijeshi nchini Burkina Faso, ujumbe wa makamanda wa jeshi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika (ECOWAS) upo katika nchi hiyo na umekutana na kufanya mazungumzo mjini Ouagadougou na wanachama wa Baraza la Utawala wa Kijeshi. Mazungumzo baina ya wanajeshi…

Katibu Mkuu wa UN alaani “janga la mapinduzi” baada ya Kabore kupinduliwa Burkina Faso

Katibu Mkuu wa UN alaani “janga la mapinduzi” baada ya Kabore kupinduliwa Burkina Faso

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, amelaani kile alichokiita “janga la mapinduzi” ambalo ulimwengu unashuhudia, akieleza kuwa anafuatilia kwa wasiwasi mkubwa matukio ya sasa nchini Burkina Faso. Guterres ameeleza wasiwasi wake hasa kuhusu hatima na usalama wa Rais Roch Marc Christian Kabore wa Burkina Faso kufuatia mapinduzi yaliyofanywa na vikosi vya wanajeshi juzi Januari 23….

Mali yataka mkataba wa ushirikiano wake na Ufaransa wa kijeshi na kiulinzi upitiwe upya

Mali yataka mkataba wa ushirikiano wake na Ufaransa wa kijeshi na kiulinzi upitiwe upya

Serikali ya Mali inapanga kupitia upya mkataba wa ushirikiano wa kijeshi na kiulinzi kati yake na Ufaransa. Mkataba huo kati ya nchi hizo mbili ulitiwa saini mwaka 2014 na kuanzisha operesheni Barkhane ili kuisaidia Mali kupambana na makundi ya kigaidi. Mnamo mwezi uliopita wa Desemba Paris na Bamako zilikuwa zimekubaliana kuongeza muda wa mkataba huo kwa…

Umoja wa Mataifa waja na mikakati mipya ya kutatua mgogoro wa Sudan

Umoja wa Mataifa waja na mikakati mipya ya kutatua mgogoro wa Sudan

Televisheni ya Sky News ya lugha ya Kiarabu imetoa ufafanuzi kuhusu mpango mpya wa Umoja wa Mataifa wa kutatua mgogoro wa Sudan. Kwa mujibu wa televisheni hiyo, mpango mpya wa Umoja wa Mataifa wa kutatua mgogoro wa Sudan una vipengee vinne ambapo kipengee muhimu zaidi ni kuvunjwa Baraza la Utawala na nafasi yake kuchukuliwa na…

Shirika la Iran Khodro laanza tena kuunda magari Afrika

Shirika la Iran Khodro laanza tena kuunda magari Afrika

Shirika la Iran Khodro, ambalo ndilo shirika kubwa zaidi la kuunda magari Asia Magharibi, limetangaza kufungua tena kiwanda chake cha kuunda magari nchini Senegal. Shirika hilo la Iran litaanza kuunda magari aina ya Samand katika mji wa Thies, ambao ni wa pili kwa ukubwa Senegal na uko mbali wa kilimota 70 kutoka mji mkuu, Dakar….

Iran yasikitishwa na mauaji yaliyofanywa na magaidi Burkina Faso

Iran yasikitishwa na mauaji yaliyofanywa na magaidi Burkina Faso

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametangaza kufungamana na familia za raia wa Burkina Faso ambao waliuawa katika hujuma ya kigaidi hivi karibuni. Katika taarifa leo Jumatatu, Saeed Khatibzadeh Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amebainisha masikitiko yake makubwa kutokana na kupoteza maisha raia wa Burkina Faso katika hujuma…

Rais wa Somalia amfuta kazi Waziri Mkuu wake, mzozo wapamba moto

Rais wa Somalia amfuta kazi Waziri Mkuu wake, mzozo wapamba moto

Rais wa Somalia amemfuta kazi Waziri Mkuu wake wakati huu wa kuendelea uchaguzi wa bunge na hivyo kuzusha mzozo mpya wa kisiasa katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika. Vyombo vya habari vimeripoti habari hiyo na kusema kuwa, Rais Mohamed Abdullahi Farmaajo alichukua hatua hiyo jana Jumapili akimtuhumu Waziri Mkuu Mohamed Hussein Roble kuwa anahusika…